Kurile mbeho mwanamae ni ikora shai au ushinje nguku unywe subu yeshaa .... na maru maosheMbeho ya hapa mkuu sio poa, hapa Matasha Bar tumejichimbia ndani, nje hakufai kuna mbeho ya hatari
Mbeho kole utare mfele, Kure rangi utelolya ku mwanandie, ukakolya hata kasubu ka nguruve unywe,Kurile mbeho mwanamae ni ikora shai au ushinje nguku unywe subu yeshaa .... na maru maoshe
Kuhusu hilo sijui.Swali ni, je hii hali ilikuwa tokea enzi au ni mabadiliko ya tabia nchi ?
Watu wa Makete wanakwambia hiyo uloona Njombe bado ni joto😂😂😂Sijawahifika Makete kabisa ila Njombe mjini nimefika aiseeeeee ni balaaaa unaweza ukaliaaaa khaaaaa
Kitulo.kama afya mgogolo na wewe umekulia DSM sikushauri uende kipindi huki kama mm kipindi hiki utakufa !!
hiyo njombe kuna mwaka nilienda ilikuwa mwenzi wa sita katikati ilibidi nikae wiki ila docta akarecomand nirudishwe kwetu DSM mana sio tu kuwa nilokuwa natia huruma ila hata wenyeji wenyewe walikuwa wanasema huyu mtu wa dar es salaam haoawezi huku bora arudi kwako sasa njombe hivi halafu ndio wanataka waende huko mapolini amabko huko sasa ndio balaa kina mpk hiyo snow wanasema kunasehemu tulitakiwa twende kunaitwa kitola sijui kituli
Kaka baridi za pande hizo hazipambwi,Wabongo kwa kupamba maneno hatari, hili baridi linazungumziwa utasema kama ulaya.
Ulienda Magome au Kimara kule juu zaidi ?? Kimara wahehe wale hawaogi.Mwaka 2014 nilienda sehemu moja Iringa inaitwa Kilolo kule juu Milimani. Nilikaa siku 2 tu. Siku 1 asubuhi tuliona ndege barabarani hawezi kuruka kutokana na kupigwa na baridi kali.
Morogoro nako kuna baridi hatariKama ulilia Njombe mjini Makete utakufwaa
Acha kabisa mkuu, hii experience sio mchezo... unafanya kazi ya construction nje na joto linasoma -35°C.
Waamba kindo meku, kasubu ka nguruve ngakumbuka kwasha kipindi papa akwa kekumba kitimotoMbeho kole utare mfele, Kure rangi utelolya ku mwanandie, ukakolya hata kasubu ka nguruve unywe,
Haha! Kitulo ni kiboko asee. Kule sidhani kama huwa wanapata homa za matumbo maana ile baridi bacteria hawezi kuwa active.kitulo hiyo na rungwe ( ntokela)
Tulipanda kule juu kwa kupitia Mianzini mpaka kwenye Waterfalls tukaenda shukia njia ile ya Mt. Meru, aisee baridi ya kule juu ni hatari SheikhInaitwa ILKIDING'A.. ofcoz arusha mjini hakuna baridi ila ukanda wa juu milimani aise ni hatari sana