Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

Watu wa Makete wanakwambia hiyo uloona Njombe bado ni joto😂😂😂
Nenda Makete penyewe au fika Kitulo National park huko ndo makao makuu ya baridi
Hii ni kweli kabisa, hata makete sio kwamba kote kuna baridi inayofanana. Pale Makete mjini (kuna mtu atakuja kuuliza Makete mjini ni wapi 😁) na kitulo ndio funga kazi
 
Wabongo kwa kupamba maneno hatari, hili baridi linazungumziwa utasema kama ulaya.
Mkuu kwa hiyo tuache kisema Mbwana Samatta ni mchezaji mzuri just tu kwa sababu kuna mchezaji raia wa Argentina anaitwa Lionel Messi kwa hiyo dunia nzima tujikite kwa Messi tusiongelee mchezaji mwingine nje ya hapo, iwe ni Messi Messi Messi Messi Messi tu...

Kwa hiyo ww unadhani watu hapa hawajui kama ulaya kuna baridi japokua hata kama wengine hawajawahi kufika.
 
Na mada inasema maeneo ya hapa nchini, kwa hiyo tuseme tu Tanzania yote ni Joto kama Dar kisa hakuna sehemu yenye baridi kama ulaya? 🤣🤣 Mtajuaje kama amefika Ulaya
 
Mbeya alfajiri leo
Screenshot_20260802_051437_Weather.jpg
 
Mlimani Kilimanjaro ni sehemu tengefu/hawaishi watu a day to day life kama sehemu tajwa.Kwa hiyo uzoefu wa KLM kileleni ni wa muda mfupi kwa watu wachache yaani watalii na kampani zao tu.Kwa kiasi fulani unao ukweli lakini kiujumla hakuna usahili.
Kwenye mageti kama Umbwe na vijiji vya karibu kuna watu wengi Tu wanaishi, na baridi maeneo hayo ni single digit centigrade, hatuna Tu vifaa vya kisasa vya kupimia Ila zipo data za zamani zinaonesha maeneo ya Kilimanjaro (sio Mlima) joto linafika -2 °C, Iringa lowest recorderd ni 0.

Na hivi vitu sio rocket science Jinsi altitude inavyokua kubwa na baridi inaongezeka, sehemu kama Njombe altitude yake ni roughly 1900M, sehemu kama Umbwe, machame, Mweka, Materuni altitude ni 1600-2000, kuna watu wanaishi na kulima kwenye hizo slope za milima it's just kunatofautiana hii ramani unaweza ukaona
materuni_waterfalls-trip.png

Mimi nimepata bahati ya kutembelea maeneo mengi around kibosho hio, ukiwa hai ama kibosho mwisho hapo zinpoishia daladala, na ukipanda Machame ama umbwe kwenda juu Milimani you can feel kabisa utofauti, Ukilala Lyamungo na Ukilala Umbwe japo ni karibu km chache unahisi kabisa baridi ni Kali zaidi Umbwe, kila km kadhaa ukipanda baridi inaongezeka kwa kasi.
 
Back
Top Bottom