Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Zote zipo iringaMafinga/mufindi ni Iringa
Zote zipo iringaMafinga/mufindi ni Iringa
YaaZote zipo iringa
Kukuelezea ni shida utapata baridi.Elewa tu ni baridi mnoo.Juzi nilikuwa Mwanza mjini kuna watu walinishangaza kwa kusema wanasikia baridi.Njombe/Makete kuna baridi halafu kuna baridi tena na nyongeza unapewa.Huko kuna baridi linalopuliza au ? Ni like kama uko kwenye fridge
Kwani ulaya Kuna baridi mwaka mzima?!!!Wabongo kwa kupamba maneno hatari, hili baridi linazungumziwa utasema kama ulaya wakati ni miezi tu wa7 mpk 9
Mufindi huko ni balaa!Sijawahifika Makete kabisa ila Njombe mjini nimefika aiseeeeee ni balaaaa unaweza ukaliaaaa khaaaaa
Uko sahihi mkuu!Siku ya kwanza nafika Makete nilifika jioni nilifua boxa nikaanika nje. Asubuhi naamka nakuta boxa imeganda kwa barafu.
Hua nashangaa mtu anasema baridi eti Moshi, Arusha, wakati hao washkaji wanaotoka hiyo mikoa wakakiri kwamba Makete hapafai.
Inapiga snow, mnaamka asubuhi njia za kupita theluji imemwagika. Ila wana chakula cha kutosha.
Kawetele ni funga kazi, kuna isyonje na igoma piaKawetele vipi?
Manyovu kule kigoma kaskazini ushawahi kufika?
Inaitwa ILKIDING'A.. ofcoz arusha mjini hakuna baridi ila ukanda wa juu milimani aise ni hatari sana4. Ikindinga huko Arusha
5. Ngorongoro Crater
6. Rombo- Klm
Ifakara MorogoroSitaongea Sana, ila kiukweli nyuzi nyingi Sana zimewekwa kuhusu mada hii, naweka Hoja atakayebisha basi ana shida.
Maeneo yenye baridi kabisa nchi hii yapo matatu, kijiographia ni eneo Moja, ila kiutawala na kiukoloni ni maeneo tofauti, ambayo yametengwa na mipaka iliyowekwa na serikali, labda na wakoloni pia, maeneo haya Kwa umoja wake ni
Sehemu ya Makete + Tukuyu + Mbeya Vijijini
Kimsingi maeneo haya yamepakana, ndo mana si makete pekee kuna barafu, hata mbeya vijijini na tukuyu, na ni maeneo yametenganishwa na mstari wa mpaka, hivyo kutoka sehemu moja kwenda ingine ni nusu hatuna at the border point
Kna sehemu inaitwa West Kilimanjaro ndiyo ina baridi.Siku ya kwanza nafika Makete nilifika jioni nilifua boxa nikaanika nje. Asubuhi naamka nakuta boxa imeganda kwa barafu.
Hua nashangaa mtu anasema baridi eti Moshi, Arusha, wakati hao washkaji wanaotoka hiyo mikoa wakakiri kwamba Makete hapafai.
Inapiga snow, mnaamka asubuhi njia za kupita theluji imemwagika. Ila wana chakula cha kutosha.
We jamaa🤔🤔,hapo labda vumbi tu na ubwabwa kwa njuju🤣🤣🤣!!!Ifakara Morogoro
Balaaa japo napasikia tuuNjombe ni balaa ajabu ni huko ndani ndan watoto wanaamk saa 11 kwenda shule maana ni mbali aisee mtu mzima unaweza pata uchungu ukaanza kulia ile barid😀