Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

Nilipoenda Lushoto ,sehemu moja inaitwa Magamba ,tulizika na kukaa huko kama mwezi hivi ,sijawahi kuona jua ; mvua kila siku.

Niliporudi Tanga mjini,ile nashuka pale stendi ya zamani niliona mwanga mkali wa juu mpaka macho yalianza kuum..Aisee Lushoto kuna baridi ,huko Mafinga nitakufa labisa , Lushoto chakula kinawekwa mchuzi kinalala wala hakiharibiki ,hatu uweke siku tano .
 
Kikweli kuna maeneo Tanzania yana baridi sana, ila naomba ufanye adventure kidogo, nenda Murmansk sehemu moja huko Urusi, Northern hemisphere. Utakutana na kitu hujawahi kukutana nacho, ukisikia baridi ndio lile, -42°C to -55°C na watu wanafanya kazi outdoors, viatu vina sufi, soksi za sufi, kofia za sufi, kamasi littoral na kugandia mlangoni puani..😅😅
 
Baridi inapuliza week hii mbeya mjini tunaota jua siku nzima halikolei, hapa nawaza waliopo insyonje, mporoto ntokela Wana hali gani. Maana Hadi vidoti vya baridi vinatoka mchana wote huu sijajua usiku hali itakuwaje leo
 
Isyonje, Igoma na Irambo usiguse mamii. Irambo ndio chimbuko langu kule
 
Kikweli kuna maeneo Tanzania yana baridi sana, ila naomba ufanye adventure kidogo, nenda Murmansk sehemu moja huko Urusi, Northern hemisphere. Utakutana na kitu hujawahi kukutana nacho, ukisikia baridi ndio lile, -42°C to -55°C na watu wanafanya kazi outdoors, viatu vina sufi, soksi za sufi, kofia za sufi, kamasi littoral na kugandia mlangoni puani..😅😅
Screenshot_20260801_132506_Chrome.jpg
 
Sitaongea Sana, ila kiukweli nyuzi nyingi Sana zimewekwa kuhusu mada hii, naweka Hoja atakayebisha basi ana shida.

Maeneo yenye baridi kabisa nchi hii yapo matatu, kijiographia ni eneo Moja, ila kiutawala na kiukoloni ni maeneo tofauti, ambayo yametengwa na mipaka iliyowekwa na serikali, labda na wakoloni pia, maeneo haya Kwa umoja wake ni

Sehemu ya Makete + Tukuyu + Mbeya Vijijini
Kimsingi maeneo haya yamepakana, ndo mana si makete pekee kuna barafu, hata mbeya vijijini na tukuyu, na ni maeneo yametenganishwa na mstari wa mpaka, hivyo kutoka sehemu moja kwenda ingine ni nusu hatuna at the border point
Eneo lenye baridi Tanzania with facts ni Mlima Kilimanjaro ambao unafika Hadi -27 degree,

Ukitoa Mlima Kilimanjaro Eneo ambalo limewahi kurekodiwa joto dogo zaidi ni Uporoto Mbeya -6 degree.

Huko kwengine kote ambao wachangiaji wanakusema kama Njombe, makete etc kuna baridi za kawaida kama nyuzi 4, 5 etc hazijafika level za Negative.

Na MTU akisema Moshi kuna Baridi hamaanishi Moshi Mjini ama Arusha Mjini, ni mpaka upande huko Milimani.
 
Mlimani Kilimanjaro ni sehemu tengefu/hawaishi watu a day to day life kama sehemu tajwa.Kwa hiyo uzoefu wa KLM kileleni ni wa muda mfupi kwa watu wachache yaani watalii na kampani zao tu.Kwa kiasi fulani unao ukweli lakini kiujumla hakuna usahili.
 
Back
Top Bottom