ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Njombe ni balaa ajabu ni huko ndani ndan watoto wanaamk saa 11 kwenda shule maana ni mbali aisee mtu mzima unaweza pata uchungu ukaanza kulia ile barid😀Sijawahifika Makete kabisa ila Njombe mjini nimefika aiseeeeee ni balaaaa unaweza ukaliaaaa khaaaaa
Sasa hapo makete kuna eneo ukipiga hatuna 10 umefika mbeya vijijini, pia kina eneo ukipiga hatuna 10 umefika TukuyuSiku ya kwanza nafika Makete nilifika jioni nilifua boxa nikaanika nje. Asubuhi naamka nakuta boxa imeganda kwa barafu.
Hua nashangaa mtu anasema baridi eti Moshi, Arusha, wakati hao washkaji wanaotoka hiyo mikoa wakakiri kwamba huko hapafai.
Inapiga snow, mnaamka asubuhi njia za kupita theluji imemwagika. Ila wana chakula cha kutosha.
kitulo hiyo na rungwe ( ntokela)Sasa hapo makete kuna eneo ukipiga hatuna 10 umefika mbeya vijijini, pia kina eneo ukipiga hatuna 10 umefika Tukuyu
Haki nilikuwa naoga mara moja tu mchanaNjombe ni balaa ajabu ni huko ndani ndan watoto wanaamk saa 11 kwenda shule maana ni mbali aisee mtu mzima unaweza pata uchungu ukaanza kulia ile barid😀
Hahaha. Hiyo ya ng'ombe kuota moto wametisha.Makete Ng’ombe wanaota moto, kuku unawaachia mlango wazi siku jua likitoka watatoka njee wenyewe sijawahi Vuta sigara ila ilibaki kidogo sana niombe kiko
hapafikii wanakokusema. Mimi nimeishi Mufindi na huko Rongai nimefika, ila kwa Mufindi tu huko Rongai cha mtoto. Mufindi huko kila siku lazima kamasi jepesi likutoke hta kama huna mafua.Rongai Kuna baridi balaa
Kweli kabisaSitaongea Sana, ila kiukweli nyuzi nyingi Sana zimewekwa kuhusu mada hii, naweka Hoja atakayebisha basi ana shida.
Maeneo yenye baridi kabisa nchi hii yapo matatu, kijiographia ni eneo Moja, ila kiutawala na kiukoloni ni maeneo tofauti, ambayo yametengwa na miaka iliyowekwa na serikali labda na wakoloni pia, maeneo haya Kwa umoja wake ni
Sehemu ya Makete + Tukuyu + Mbeya Vijijini
Kimsingi maeneo haya yamepakana, ndo mana si makete pekee kuna barafu, hata mbeya vijijini na tukuyu, na ni maeneo yametenganishwa na mstari wa mpaka, hivyo kutoka sehemu moja kwenda ingine ni nusu hatuna at the border point
Wanaoishig huko miak sijui wanawezajehapafikii wanakokusema. Mimi nimeishi Mufindi na huko Rongai nimefika, ila kwa Mufindi tu huko Rongai cha mtoto. Mufindi huko kila siku lazima kamasi jepesi likutoke hta kama huna mafua.