A
Anonymous
Guest
Wakati mwingine maji hutoka nyakati za usiku pekee, jambo linatulazimu kuamka usiku wa manane ili kuyachota, kuna wakati maji yanatoka yakiwa ni machafu.
Tatizo hilo limekuwepo kwa muda mrefu kiasi kwamba baadhi yetu tumeanza kulizoea.
Tunaiomba serikali na mamlaka zinazohusika na huduma ya maji kuchukua hatua za haraka na za kudumu ili tupate maji safi na salama.