Kuleta mageuzi katika sekta ya sayansi na teknolojia kupitia Samia Scholarship. Ufadhili huo wa miaka mitatu hadi mitano utawanufaisha wanafunzi kwenye maeneo haya nane:
Samia Scholarship itatoa Ufadhili wa
1. Ada ya mafunzo
2. Posho ya chakula na malazi
3. Bima ya afya
4.Vifaa saidizi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu
5. Mafunzo kwa vitendo
6. Tafiti
7. Posho ya vitabu na viandikwa
8. Mahitaji maalumu ya vitivo kwa miaka 3 - 5
Lengo ni kuimarisha sekta ya elimu hasa katika sekta ya sayansi na teknolojia.