- Thread starter
- #41
Kwaiyo unamanisha BAVICHA hawana akili? maana watu wanachaguliwa wenye ufaulu wa juu na kama kuna mtu anaufaulu mzuri na hajachaguliwa hapo ni haki yako kusema ivoHizo scholarship kipaumbele watapata uvccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo unamanisha BAVICHA hawana akili? maana watu wanachaguliwa wenye ufaulu wa juu na kama kuna mtu anaufaulu mzuri na hajachaguliwa hapo ni haki yako kusema ivoHizo scholarship kipaumbele watapata uvccm
Umepata scholarship?Kwaiyo unamanisha BAVICHA hawana akili? maana watu wanachaguliwa wenye ufaulu wa juu na kama kuna mtu anaufaulu mzuri na hajachaguliwa hapo ni haki yako kusema ivo
Mimi nimemaliza muda mrefu mkuu lakini kuna mdogo wangu amepata na ametoka shule ya governmentUmepata scholarship?
Si kweliHamna kitu hapo watajazana watoto wa viongozi
Sasa wanakuza vp elimu huku Hawa wanaenda vyuo vyenye wakufunzi Hawa Hawa na mitaala Ile Ile kutakuwa na utofauti gani Kwa uelewa kati ya aliepata scholarship na aliepata mkopo huku wakiwa katika darasa moja? Mm ninachoona tungechagua elite wachache tuwapeleke huko duniani wakapikwe chini ya mashart lazima warudi bongo then wanawezeshwa ipasavyo juu ya kile tulichokidhamilia kutuletea mabadiliko tungetoboaKuleta mageuzi katika sekta ya sayansi na teknolojia kupitia Samia Scholarship. Ufadhili huo wa miaka mitatu hadi mitano utawanufaisha wanafunzi kwenye maeneo haya nane:
Samia Scholarship itatoa Ufadhili wa
1. Ada ya mafunzo
2. Posho ya chakula na malazi
3. Bima ya afya
4.Vifaa saidizi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu
5. Mafunzo kwa vitendo
6. Tafiti
7. Posho ya vitabu na viandikwa
8. Mahitaji maalumu ya vitivo kwa miaka 3 - 5
Lengo ni kuimarisha sekta ya elimu hasa katika sekta ya sayansi na teknolojia.