Maeneo nane yatakayofadhiliwa na Samia Scholarship

Hizo scholarship kipaumbele watapata uvccm
Kwaiyo unamanisha BAVICHA hawana akili? maana watu wanachaguliwa wenye ufaulu wa juu na kama kuna mtu anaufaulu mzuri na hajachaguliwa hapo ni haki yako kusema ivo
 
Kwaiyo unamanisha BAVICHA hawana akili? maana watu wanachaguliwa wenye ufaulu wa juu na kama kuna mtu anaufaulu mzuri na hajachaguliwa hapo ni haki yako kusema ivo
Umepata scholarship?
 
Sasa wanakuza vp elimu huku Hawa wanaenda vyuo vyenye wakufunzi Hawa Hawa na mitaala Ile Ile kutakuwa na utofauti gani Kwa uelewa kati ya aliepata scholarship na aliepata mkopo huku wakiwa katika darasa moja? Mm ninachoona tungechagua elite wachache tuwapeleke huko duniani wakapikwe chini ya mashart lazima warudi bongo then wanawezeshwa ipasavyo juu ya kile tulichokidhamilia kutuletea mabadiliko tungetoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…