Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Frem ya mita 3 kwa 4 ni milion 5 kwa kodi ya mwezi. Hiyo hapo ni kwa ajili ya E.MONEY shops(uwakala) sijui mtu atafanya biashara kiasi gani kuweza kupata kiasi hicho cha kodi,mshahara wa mfanyakazi/kodi za serekali, faida n.k

Picha ya tatu ni mita za mraba 42 eneo la cafe na fastfood bei ni kama hivyo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…