Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

Sasa hii inahusiana vipi na mada iliyopo hapa mkuu?
Kuna akili huwa zinaitwa "Akili za Kujiongeza".

Mwaka 2009 - 2012 viwanja Mbezi Luis (Mbezi shamba mlivyokuwa mkiita) vilikuwa havifiki hata million 3 kwa eneo ilipojengwa stand hadi bar ya Tononeka, kupandisha mnarani ukishuka darajani (njia ya kwenda Makabe) ndio hata 1M ulikuwa unapata kiwanja kizuri tu.

Mkahangaika na Kigamboni pamoja na Chanika, leo hii mnapangishiwa vyumba vya biashara kwa bei hiyo mnalalama NI UJINGA tena mkae kwa kutulia kabisa.
Njoo kwenye frem zetu hapa Arapha dispensary tukunyooshe pia hutaki ACHA
 
Machinga complex ilikua hivi hivi wafanyakazi na watu wenye nafasi walijimilikisha vibanda matokeo yake kila mtu anayaona. Ambae hajui aende hata sasa hivi akaangalie
Kina nini Embu tuambie hapa hapa maana nafasi ya kwenda huko ndio shida
 
Hapo nikuwaachia wenye makampuni makubwa waweke atm na ofisi ndogo ndogo za kukatia tiketi. Hiyo kodi mfanyabiashara mdogo haiwezi hata kama ana capital ya 100m inakatika ndani ya mwaka maana kodi ya pango tu 60m , bado tra, halmashauri, zimamoto,umeme, usafi/ Ulinzi, na hapo kumbuka wafanyabiashara wakubwa ni machinga maana hupeleka huduma mkononi mwa mteja
 
Back
Top Bottom