Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

Wageni mtaumizwa safari hiii na mawenge ya kukimbilia Mbezi hadi akili iwakae sawa

Kuna mtu huko nimemsoma anadai eneo mbezi milioni 1, nasema hivi wageni karibuni Mbezi.
 
Madalali wa mbezi saivi wote ukipga simu zao zinatumika, yaani wote wako busy kwanini

watu msitandikwe bei tu, unasubiri mvua inaanza halafu unaenda kuulizia bei ya mwamvuli
 
Wageni mtaumizwa safari hiii na mawenge ya kukimbilia mbezi hadi akili iwakae sawa

kuna mtu huko nimemsoma anadai eneo mbezi milioni 1,nasema hivi wageni karibuni mbezi.
Na watapigwa kwel...kaeneo kamoja wanapewa watu watano mtajuana wenyewe huko baadae
 
Wakuu najaribu kutuma maombi lakini nikifika sehemu ya kuchagua mkoa ilipo biashara najaza vzuri tu sasa hakuna option ya kwenda mbele Ila kuna kioption chekundu Cha kurudi nyuma
IMG_20201119_154138_565.jpg
 
najua sana tatizo wewe unaona hiteli ya hadhi ya nyota 5 haiwezi kujengwa nje ya mji! umezoea kuona hoteli hizo masaki, lkn pia inawezekana kujenga maeneo hayo na wataja wakapatikana tena wengi sana,
nataka kuwekeza hoteli au sehemu ya michezo ya watoto kama ilivyo Fumba zenji.
Hizo hotel zinaitwa 5star kwa sababu , moja ya sababu ni location ilipo, kwenda tu airport kutoka mbezi ni changamoto
 
Milion 17 kwa mwezi..ni eneo kubwa kidogo mita 20 kwa 18 hiviii....si unajua bar inavitu vingi, kaunta majiko,kaeneo kakuweka mziki na jukwaa dogo,maeneo ya kukaa watejaa n.k...
Milion kumi na saba kwa mwezi? Hiyo hela unajenga nyumba kabisa inaisha
 
Hizo hotel zinaitwa 5star kwa sababu , moja ya sababu ni location ilipo, kwenda tu airport kutoka mbezi ni changamoto
lakini ndipo stendi kuu ilipo jengwa, taka usitake lazima utafika tu kupata huduma ya usafiri na ikibidi utataka na malazi.
 
Back
Top Bottom