Mbona wameomba radhi kwamba kuna hitilafu imetokea,au furaha yako ni kuanzisha uziWameanza figisu.
Tanesco ijue tunamatumizi na nishati hizi.
Umeme unakatwa vipi bila taarifa halafu kwa nini asb tena jumapili?
Hii tunaiitaje?
Ni mpaka mitambo itakapokaa sawa inaweza kuwa saa,masaa,siku,wiki n.kHadi lini mkuu
Mbona wametoa tangazo...we upo wapiSiku ya maombi na toba
Zanzibar wabaguziMbona Zanzibar asubuhi ulizimwa hatujalalamika ila saivi ushawashwa
Mnacha kufanya nyie keybord worrior? Hata wakikata mwaka mzima hamna kitu mtafanyaWameanza figisu.
Tanesco ijue tunamatumizi na nishati hizi.
Umeme unakatwa vipi bila taarifa halafu kwa nini asb tena jumapili?
Hii tunaiitaje?
Aisee [emoji1]Zimeanza baada ya kuanzia kumchukua fomu