Maeneo yaliyokatwa umeme, Dsm hii tuiiteje?

Maeneo yaliyokatwa umeme, Dsm hii tuiiteje?

Mbona wametoa Press kueleza kuwa Kuna hitilafu kwenye grid ya taifa
 
Wameanza figisu.

Tanesco ijue tunamatumizi na nishati hizi.

Umeme unakatwa vipi bila taarifa halafu kwa nini asb tena jumapili?

Hii tunaiitaje?
Wametoa taarifa kwamba mkongo wa taifa umepata hitilafu
 
Back
Top Bottom