Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

Mkuu hivi maisha ya Iringa DC yapoje kwa mtu anayetaka kula bata na kupumzika kidogo huko, naomba jibu lako mkuu.
 
Mkuu hivi maisha ya Iringa DC yapoje kwa mtu anayetaka kula bata na kupumzika kidogo huko, naomba jibu lako mkuu.
Maisha ni matamu sana hapo mjini, kama walivyosema baadhi ya wadau hapo juu. Huo mji umechangamshwa sana na uwepo wa vyuo vikuu vingi.

Hotel, Lodge, Guest House; zote zipo za kutosha. Kama unapenda utalii, Hifadhi ya Ruaha ipo jirani! Hali ya hewa usiku ndiyo huwa ni ya baridi. Ila mchana, jua linawaka kama kawaida.
 
Na huko wilayani ukiacha Iringa mjini je huko Iringa District kuna vibe au mpka Iringa manispaa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…