Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

Nenda Miami night Club, au kule Miyomboni. Kuna ka bar fulani hivi kako ghorofani. Kuna siku nilienda kuchungulia, halafu nikaondoka.

Pia jirani na chuo cha Rucu kuna Bar moja nayo iko na vibe sana! All in all, ukiwauliza Bodaboda, watakufikisha kwenye machimbo yote.
Jiran na Rucu in Essence, pale miyomboni ni WarmUp alafu Mlandege ni Miami... Nimepita kote huko aisee....
 
Back
Top Bottom