Kwa iringa labda uchukue mazao upelek nje ya mkoa mfano dar na Dodoma hasa maharage na mahindi kwa sasa pesa ipo hapo ila kuhusu biashara iringa mjini ni ngumu labda uende Mafinga kidogo mzunguko wa pesa ni mkubwa sana hasa ukifugua biashara ya spare za malori pia uzaji wa vinywaji vya jumla hasa spirit za kawaida na bia kidogo
Kuhusu hilo jimbo jingine biashara inayo lipa sana ni maziwa man Asas,Mt na wakenya wanachukua maziwa Hata ukiwa na litre 10,000 so unawez fuga ngombe huku sababu hizo sehem mto ruaha umepita so miundombinu ya ufugaji ni mizuri sana