Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

Sema royal wahudumu ni wez kinoma kupandisha bei za vinywaji ni kawaida sana
Hilo linawezekana, mwenyewe nakumbuka nilikunywa vinywaji vya kawaida tu na nyama choma lakini bili ilikuja 58,500 🙌
 
Fahari ya Iringa ni nini??

Kwa mfano mtu akienda Tabora atabeba Asali, akienda Mtwara atabeba Korosho na mfano kama huo kwa mikoa mingine,

Je iringa ni nini utambulisho au zawadi naweza beba na kujivunia nimetoka iringa?
Kitambulisho cha Iringa au zawadi ya kujivunia utakayoweza kubeba kutoka Iringa ni UKIMWI, pamoja na ndugu zao wa njombe na mbeya.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Si kwel mkuu sample inayotumika kutoa takwim za ukimwi isiwafumbaze
Sample inayotumia mikoa yote tanzania nimoja tuh hujawah jiuliza wah kila siku mikoa ya watu wachache ndo ipo juu all in all ukimwi upo kwote so take care
 
Inamaana gari ya kwanza ya Dar --Iringa inaanza kuondoka saa moja?

Hakuna zinazowahi kutoka labda mida ya saa 11 alfajiri au 12 kamili juu ya alama ili kuwahi kufika?

Saa kumi na moja mpka kumi na mbili ni za Mbeya japo nying hutak ulipie nauli ya mbeya hata kam unfika iringa jpo saa sabu unkuwa umefika-za Iringa nying hutega wateja ndo man ningumu kuona zinawah ondok
 
Hilo linawezekana, mwenyewe nakumbuka nilikunywa vinywaji vya kawaida tu na nyama choma lakini bili ilikuja 58,500 [emoji119]

Pale hapana aisee usipo jua bei za vinywaji utalizwa sana bora miam wan menu ipo karibia kila table
 
Si kwel mkuu sample inayotumika kutoa takwim za ukimwi isiwafumbaze
Sample inayotumia mikoa yote tanzania nimoja tuh hujawah jiuliza wah kila siku mikoa ya watu wachache ndo ipo juu all in all ukimwi upo kwote so take care
Naomba unipe fursa za Iringa hasa jimbo la kalenga na jimbo la Iringa mjini tafadhali sana, tuachane na maukimwi ya huko kusini.
 
Si kwel mkuu sample inayotumika kutoa takwim za ukimwi isiwafumbaze
Sample inayotumia mikoa yote tanzania nimoja tuh hujawah jiuliza wah kila siku mikoa ya watu wachache ndo ipo juu all in all ukimwi upo kwote so take care
Nahisi pia kwa watu wa wachache mzunguko wa ukimwi unakuwa kwa kasi sana kwasababu kukufikia ni haraka sana, nipe fursa za Iringa.
 
Kwa iringa labda uchukue mazao upelek nje ya mkoa mfano dar na Dodoma hasa maharage na mahindi kwa sasa pesa ipo hapo ila kuhusu biashara iringa mjini ni ngumu labda uende Mafinga kidogo mzunguko wa pesa ni mkubwa sana hasa ukifugua biashara ya spare za malori pia uzaji wa vinywaji vya jumla hasa spirit za kawaida na bia kidogo

Kuhusu hilo jimbo jingine biashara inayo lipa sana ni maziwa man Asas,Mt na wakenya wanachukua maziwa Hata ukiwa na litre 10,000 so unawez fuga ngombe huku sababu hizo sehem mto ruaha umepita so miundombinu ya ufugaji ni mizuri sana
 
Nikweli ila miji mikubwa hasa dar kuna stareh za kila ain watu weng huko tyr ufulska ni mwingi sema ndo ivo wantembea na mwavuli wa kuwa ni jiji la kibishara sem n hatar kulik hata mikoa taja sijue njoruma na mbeya
 
Back in days tulikuwa tunaanzia mabanda ya CCM, then Miami halafu tunarudi kumalizia Ile club nimeisahau Iko ukitoka geti la Ruco upande wa pili wa barabara unashuka halafu unakata upande wako wa kushoto

Kuna yule alikuwa anajiita DJ Nas Kama sijakosea , aliwahi kunipora Dem baada ya kulewa na akaanza kuishi Kama digidigi na baadae kumtumia G kuja kuniomba msamaha wakati Dem mwenyewe alikuwa ni side chick tu wa Tumaini Univ..

Wapi my friend Eddo wa Ebony Fm
Kitambo sana Iringa.
Nasibu sanga AKA Dj nas
 
Fahari ya Iringa ni nini??

Kwa mfano mtu akienda Tabora atabeba Asali, akienda Mtwara atabeba Korosho na mfano kama huo kwa mikoa mingine,

Je iringa ni nini utambulisho au zawadi naweza beba na kujivunia nimetoka iringa?

Njoo unywe Ulanzi na mishikaki ya Mlinzi hapa Iringa Samora kwa Nelly.
 
Inamaana gari ya kwanza ya Dar --Iringa inaanza kuondoka saa moja?

Hakuna zinazowahi kutoka labda mida ya saa 11 alfajiri au 12 kamili juu ya alama ili kuwahi kufika?
Ipo basi moja inaitwa Vitu Laini na nyingine Igembensabo. Karibu sana kwenye hayo mabasi.
 
Kwa iringa labda uchukue mazao upelek nje ya mkoa mfano dar na Dodoma hasa maharage na mahindi kwa sasa pesa ipo hapo ila kuhusu biashara iringa mjini ni ngumu labda uende Mafinga kidogo mzunguko wa pesa ni mkubwa sana hasa ukifugua biashara ya spare za malori pia uzaji wa vinywaji vya jumla hasa spirit za kawaida na bia kidogo

Kuhusu hilo jimbo jingine biashara inayo lipa sana ni maziwa man Asas,Mt na wakenya wanachukua maziwa Hata ukiwa na litre 10,000 so unawez fuga ngombe huku sababu hizo sehem mto ruaha umepita so miundombinu ya ufugaji ni mizuri sana
Unajua ASAS ananunua Tsh ngapi kwa lita?
 
Back
Top Bottom