inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
Haipafanyi pawe mjiniHuko bunju unakosema kijijini ndio viwanja 25*25,10mill.
Haipafanyi pawe mjiniHuko bunju unakosema kijijini ndio viwanja 25*25,10mill.
Ndo mji wenyewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kijijini in terms of maisha ya chini.ila huu mji ilibidi mitaa kama ya manzese iwe bunju mbali huko nje ya mji
Ni kweli kabisa, Masaki inakutana na msasani upande huu wa Ofisi za HESLB zamani ambapo msasani ya hapo haina uswaziHio picha na baadhi ya maelezo ya mtoa mada sio kweli. Masaki na msasani hazikutani uswahilini. Msasani uswahilini inapaka na Oyaterbay. Kuna mtaa unaitwa Ali bin Said. Mtaa huu upande mmoja ni Oyaterbay ukivuka upande wa pili ni uswazi msasani ambapo yalikuwa machimbo yakokoto watu wamevamia na kujenga. Ndio hio picha inaonesha.
Masaki na msasani zinaingana sehemu inaitwa msasani Kwa mamwimyi. Hapa ni msasani ushuani kuna kiwanja kinaitwa Capetown fish market, kuna gym kongwe inaitwa fitness centre na apartment za kishua. Msasani Kwa mamwimyi inaenda hadi Tirdo ambako mbele kidogo inaamza maandazi road na uswazi bonde la mpunga.
Hakuna sehemu masaki inaungana na msasani uswahilini.
Wapo wa kumwaga, hela yako tu.Hivi Kawe wauza katerero bado hawajafika huko?
Sehemu gani hapo kawe?Wapo wa kumwaga, hela yako tu.
Nipe hela kwanza ya udalali, pimp!Sehemu gani hapo kawe?
hapo saaawa mana nlidhani unasema masaki=msasaniMasaki ni upande wa juu wa iyo picha, chini msasani.
huwa naangaliaaa zile taarifa zao afu najisemea ihiiii hawaijui dodoma hawa!Jamaa anataka kulinganisha Dar na Dodoma hahahaa.
TBC inawadanganya sana watu. Ukiangalia TBC unaweza kusema Dodoma ni New York kama hujafika
Una tabia za dar za kusutana
Kizuri kula na mwenzako mkuu 😀Nipe hela kwanza ya udalali, pimp!
Crime rate inakuaga kubwa maeneo hayo aisee. Ni kama maeneo ambayo kuna vyuo vikuu, uhalifu unapamba moto sana.
Ha ha ha!Kizuri kula na mwenzako mkuu 😀
Mkuu inategemea sana utakavyo ishi, mimi nimezaliwa na nimekulia sinza ushuani kweli kila nyumba ukuta geti. Lkn niliishi Chocho moja tandale kati m/nyamala huko huko nilikua na ndinga narudi muda wowote naotaka sikuwai kukabwa. You know what? Sbb najua kuishi na aina zoooote za watu. Day one nilijichanganya nao sana tu sbb naelewa maisha, kweli uswahilini wamekwama maisha lkn hawapendi kudharauliwa kama mimi tu ukishare nao mambo yao unakua wao na wanakua walinzi wazuri sana kwako na familia yako hii naongea from experience. Kuna siku mtoto wangu alikua anazurura mitaani masela kitaa wakamdaka safari moja kwa moja home kwangu. Kachala akaniambia broo, dah dogo alikua anazurura kitaa tukamuona tukasema huyu si mwana wa kaka etu? Wote tukasema "mwenyewe" Sasa huku anatafuta nn? Ah nikamdaka nimemleta home!" Tukaona nini braza huyu mtoto ataharibikiwa ngoja tumuokoe!Kama umejaaliwa viJisenti ogopa sana kukaa maeneo kama hayo, usalama unakuwa mdogo sana. Unaweza kukabwa getini kwako.
Kweli mkuu, watu wa uswazi wana upendo sana hawana ubinafsi hata ukipanga nyumba kodi ikichelewa wanakuelewa, huwezi kulala na njaa uswazi labda huwe mzembe au imuna pozi za ushuaani, hila ukijichanganya na wadau wa kitaa unakopeshwa fungu la dagaa, unga, utalipa kesho.Mkuu inategemea sana utakavyo ishi, mimi nimezaliwa na nimekulia sinza ushuani kweli kila nyumba ukuta geti. Lkn niliishi Chocho moja tandale kati m/nyamala huko huko nilikua na ndinga narudi muda wowote naotaka sikuwai kukabwa. You know what? Sbb najua kuishi na aina zoooote za watu. Day one nilijichanganya nao sana tu sbb naelewa maisha, kweli uswahilini wamekwama maisha lkn hawapendi kudharauliwa kama mimi tu ukishare nao mambo yao unakua wao na wanakua walinzi wazuri sana kwako na familia yako hii naongea from experience. Kuna siku mtoto wangu alikua anazurura mitaani masela kitaa wakamdaka safari moja kwa moja home kwangu. Kachala akaniambia broo, dah dogo alikua anazurura kitaa tukamuona tukasema huyu si mwana wa kaka etu? Wote tukasema "mwenyewe" Sasa huku anatafuta nn? Ah nikamdaka nimemleta home!" Tukaona nini braza huyu mtoto ataharibikiwa ngoja tumuokoe!
Hayo ni maneno niliyoyasikia mwenyewe kutoka kwa wahuni wa kitaa. Nilifurahi sana but at the same time niliumia sana. Nilifurahi sbb kumbe jamii nayoishi nayo inajali maisha yangu na familia yangu lkn niliumia sana sbb watoto wao na familia zao hawazijali kabisa but why me? sbb nipo nao kwenye shida zao so wananiona mimi ni mwenzao ila ukumesap nao watakuzingua kinoma. Mimi kwa sasa naweza ishi sehemu yoyote na kula bata kadri navyotaka bila wasi!
duh hadi kawe?kawe sehemu gani?Wapo wa kumwaga, hela yako tu.
Yafuatayo in baadhi ya maeneo yaliyokaribu sana kijeografia ila yana hadhi tofauti kimaisha.
1. Sinza na Tandale
Mitaa hii ipo karibu sana ila hali ya maisha ya watu wake in tofauti kabisa. Tandale watu wengi wana maisha ya chini na uswahili pia.
2. Kawe na mikocheni
Kawe kuna uswazi ila jirani zao mikocheni kwa warioba wanakula upepo
3. Masaki na msasani
Hapa tajiri anakutana na maskini moja kwa moja. Ukimaliza tu masaki na kuanza msasani unaanza kuona ladha ya umasikini. Msasani kuna slum.
4. Mtongani na bahari beach/ununio.
Watu wa mtongani wana maisha ya chini sana shughuli yao ni uvuvi, kokoto na bodaboda ila jirani zao bahari beach ni maghorofa na mitaa iliyopangika vizuri na watu maarufu wako huko.
Hayo ni maeneo ambayo wenye nacho na pangu pakavu wanaishi pamoja kwa ukaribu
Upande wa pili.....ukishuka kituo cha airport unavuka road upande wa kuliaBi mwenda anaishi mitaa ya upande wa pili wa airport au nyuma ya airport?
Serikali yetu ingekuwa na maono ya mbali wangeanza mkakati wa muda mrefu labda miaka 20+ ya kuyageuza maeoneo ya manzese na magomeni yawe kariakoo nyingine. Wakazi wa hayo maeneo wauze na watauftiwe maeneo mengine yaliyoboreshwa zaidi wakajenge huko. Tatizo la serikali yetu inaogopa kufanya maamuza magumu ya maendeleo kwa kuhofia kukosa kura jambo ambalo naona ni kutoona mbali na ndio maana miji yetu imejaa uswazi.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kijijini in terms of maisha ya chini.ila huu mji ilibidi mitaa kama ya manzese iwe bunju mbali huko nje ya mji