Gibeath-Elohimu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 489
- 700
Bila wao kuwepo na wewe kuwaona ukacheka, sidhani kama ungeliweza kujiclassify kwenye daraja tofauti nao.......ni kwa sababu ya wao ndo maana nawe unajiona wa tofauti.Jifunze kuheshimu kila mtu ktk dunia ambayo unaweza kuwa kitu chochote kile bila kutarajia.Dsm watu wengi wana maisha duni sana sana hawana kazi ni ubabaishaji tuu,hawana stock za vyakula hununua wanapotaka kula unga nusu,mafuta ya kula robo,fungu la dagaaa!!! Yani shida tupu !!! Ukikuta wana kunywa hizo supu zao za buku(1000) utacheka
Lakini wanajiona wajanjaaa!!!
Walter nilimjua kipindi yuko forodhani pry schoolhonestly i never met walter (rip)
ndio sababu
i always fikiria brian ni younger
Umenikumbusha Ada estate na Kinondoni shamba! Uzunguni na Uswazi inayotenganishwa na mtaa mmoja. Upande mmoja Ada estate,upande wa pili Kinondoni shamba. Mtaa huu unaanzia Tunisia road na kuendelea Baifra,Hombuz hadi Mwananyamala!Walter nilimjua kipindi yuko forodhani pry school
Kulikuwa na wakina d.luena,j.mbwire watoto fulani pia wa Ada Estate....mpk anakwenda states kulikuwa na mawasiliano ....kiukweli ule msiba wake uligusa sana watu .....na hakustahili unyama huo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Baba Yao late Captain Mazula tangu nimemfahamu Mzee huyu late 80s hadi anafariki alikuwa anatumia Volvo tu.Walter nilimjua kipindi yuko forodhani pry school
Kulikuwa na wakina d.luena,j.mbwire watoto fulani pia wa Ada Estate....mpk anakwenda states kulikuwa na mawasiliano ....kiukweli ule msiba wake uligusa sana watu .....na hakustahili unyama huo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kuna brian na walter wana mdogo wao naitwa Irene. Baba yao alikuwa Meja au Kanali. Walienda Marekani. Ila hawa walitoka mjini wakaja malizia primary kibamba around 1992-3Baba Yao late Captain Mazula tangu nimemfahamu Mzee huyu late 80s hadi anafariki alikuwa anatumia Volvo tu.
Inategemea unanunua wapi na kama kuna sale.timbs na airforce ulikuwa unanua sh.ngapi O.G maana vunja bei naona wananichanganya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna brian na walter wana mdogo wao naitwa Irene. Baba yao alikuwa Meja au Kanali. Walienda Marekani. Ila hawa walitoka mjini wakaja malizia primary kibamba around 1992-3
Sio hawa. Hawa Baba Yao alikuwa rubani. Hadi wanaenda USA walikuwa wanaishi Oysterbay.Kuna brian na walter wana mdogo wao naitwa Irene. Baba yao alikuwa Meja au Kanali. Walienda Marekani. Ila hawa walitoka mjini wakaja malizia primary kibamba around 1992-3
Unaposimulia habari za first world , huwa nakuoea gere sana , hapa kwetu kupata tu shati original ni Kama imeshindikana , unaenda kariakoo nzima ukichunguza nguo zote midosho ukifua Mara moja tu hoiii , hakuna hata mtu anajaribu kuleta nguo za maanaInategemea unanunua wapi na kama kuna sale.
Kuna dogo nimemnunulia hizi hapa juzi kama $60 hivi, online naona wanauza $90.
Timbs kuna za $100 mpaka $200, lakini mimi najua outlets wanauza mpaka $60.
Kuna outlets za Clarks kiatu cha $100 unapata hata $40, halafu unapata deal la buy one get one for $10, kwa hiyo unaweza kupata mikwaju miwili mikali kwa $50 ukicheza nao vizuri.
Halafu mimi kila nikinunua napata points, kwa hiyo unaweza kuwa na points za kukuondolea $20, kwa hivyo unaweza kupata katika hiyo $50, unaondolewa $20 unanunua viatu viwili kwa $30.
Ni suala la kujua ununue wapi, muda gani, kwenye sale gani etc. Karibu mara zote mimi sinunui full price, labda nikienda duka la Johnson & Murphy nikaona mkwaju wa kweli nimeutaka na sitaki kusubiri sale.
wakuja ila nimetajirikia mjini hapa hapaWe unaishi magomeni ya wapi au wakuja
duka gani la nguo kali unalikubali hapa mjini?Wajanja hawavai nguo za huko
Zamani kinondoni kuna jamaa alikuwa na duka joes up to date wear quality toka usa
Mambo ya fubu,Damian dada etc
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
duu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unataka ugomvi na wazaramoWazaramo asilimia 95 ndio wanaishi uswahilini choka mbaya.
Asset kubwa kwao ni madera,uchawi na majini.
Asilimia 90 ya vibaka wa dar ni wazaramo.
Shule kwao ni tusi.
Dunia ipo kiganjani mwako. Hayo maduka makubwa ya majuu unaweza kununua online ingawa kuna mengine utakutana na kikwazo hawatumi Tz ila unapata wanatuma Tz. Au tumia watu.Unaposimulia habari za first world , huwa nakuoea gere sana , hapa kwetu kupata tu shati original ni Kama imeshindikana , unaenda kariakoo nzima ukichunguza nguo zote midosho ukifua Mara moja tu hoiii , hakuna hata mtu anajaribu kuleta nguo za maana
Imagine tunategemea kupata nguo classic kutoka kwenye mitumba, ukipata Kali leo inaweza kupita miezi ndo ubahatishe tena , huko first world outelst zinajinadi how many size and colours they have of Tommy Hilfiger heat gear !!!
The world is not fair kwa kweli
Unaposimulia habari za first world , huwa nakuoea gere sana , hapa kwetu kupata tu shati original ni Kama imeshindikana , unaenda kariakoo nzima ukichunguza nguo zote midosho ukifua Mara moja tu hoiii , hakuna hata mtu anajaribu kuleta nguo za maana
Imagine tunategemea kupata nguo classic kutoka kwenye mitumba, ukipata Kali leo inaweza kupita miezi ndo ubahatishe tena , huko first world outelst zinajinadi how many size and colours they have of Tommy Hilfiger heat gear !!!
The world is not fair kwa kweli
nimekupata mzeee nitaagiza online.rafiki yako p funk majani naye huwa anasema huwa anachukua mizigo O.G kutoka U.S anasema yeye hatumii midosho ananunua viatu vilivyovaliwa na mastaa kama fat joeInategemea unanunua wapi na kama kuna sale.
Kuna dogo nimemnunulia hizi hapa juzi kama $60 hivi, online naona wanauza $90.
Timbs kuna za $100 mpaka $200, lakini mimi najua outlets wanauza mpaka $60.
Kuna outlets za Clarks kiatu cha $100 unapata hata $40, halafu unapata deal la buy one get one for $10, kwa hiyo unaweza kupata mikwaju miwili mikali kwa $50 ukicheza nao vizuri.
Halafu mimi kila nikinunua napata points, kwa hiyo unaweza kuwa na points za kukuondolea $20, kwa hivyo unaweza kupata katika hiyo $50, unaondolewa $20 unanunua viatu viwili kwa $30.
Ni suala la kujua ununue wapi, muda gani, kwenye sale gani etc. Karibu mara zote mimi sinunui full price, labda nikienda duka la Johnson & Murphy nikaona mkwaju wa kweli nimeutaka na sitaki kusubiri sale.
mzee nasikilizia kuja USA hivi nikinunua nguo za kutosha na viatu kama mabegi ishirini hivi watacharge kodi?? huwa hawaleti magumashi kuingiza mizigo mikubwa??Ni vijimambo tu.
Wadogo zangu huwa wanakuja huku kila mwaka, mwaka huu tu hawajaja kwa sababu ya Corona. Huwanawapeleka shopping wananunua wanavyotaka, nikiwauliza kwanini hamunui Bongo, wanasema Bongo magumashi mengi, halafu selection ndogo.
Najua unachosema.Kizuri kula na nduguzo. Nilikuwa napanga kutuma pipa kubwa home lenye mazagazaga kibao, mara paap, nikaambiwa Corona imeweka restrictions nyingi. I am revisiting this niwatumie nguo, viatu, vi computer computer hivi na mazagazaga tele watu wajibwede kama wana kaka mkubwa Marekani nao.
Nchi ikipunguza kodi na kuweka ufanisi kwenye mifumo ya Posta watu wasibiwe kijinga watu watatuma sana mizigo.Sasa hivi unaweza kumtumia mtu zawadi, halafu hiyo kodi tu atakayopigwa inakuwa umempa mzigo mkubwa.
nimegundua now ujanja ni kununua nje USA au Dubai bongo miyeyusho sanaUkienda K/koo kununua suruali za cardet kuna za 22K - 25K na 35K. Wanadai hizi za 35K ndio original ila ukifua mara 5 Hamna kitu. Bongo usanii mwingi hasa wahindi
computer hizi desktop na laptops huko ni kiasi gani?Ni vijimambo tu.
Wadogo zangu huwa wanakuja huku kila mwaka, mwaka huu tu hawajaja kwa sababu ya Corona. Huwanawapeleka shopping wananunua wanavyotaka, nikiwauliza kwanini hamunui Bongo, wanasema Bongo magumashi mengi, halafu selection ndogo.
Najua unachosema.Kizuri kula na nduguzo. Nilikuwa napanga kutuma pipa kubwa home lenye mazagazaga kibao, mara paap, nikaambiwa Corona imeweka restrictions nyingi. I am revisiting this niwatumie nguo, viatu, vi computer computer hivi na mazagazaga tele watu wajibwede kama wana kaka mkubwa Marekani nao.
Nchi ikipunguza kodi na kuweka ufanisi kwenye mifumo ya Posta watu wasibiwe kijinga watu watatuma sana mizigo.Sasa hivi unaweza kumtumia mtu zawadi, halafu hiyo kodi tu atakayopigwa inakuwa umempa mzigo mkubwa.
We vipi kwani tunazungumzia mambo ya utajiri humu?!wakuja ila nimetajirikia mjini hapa hapa
Ah sahv mambo ya pamba siko sanaduka gani la nguo kali unalikubali hapa mjini?