Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Nyumba ninazozungumzia zipo maeneo mengi kama kinondoni,magomeni,ilala,mwananyamala ukiziangalia zimekuwa fupi sana.
Hata sinza nyumba nyingi zimetitia. Sinza ya sasa haivutii hata
 
Mkuu naona ushajiwekea limits. Anyway kama mimi naweza naamini na mwingine anaweza mzigo huo hapo chini nimepokea three weeks ago hata sijavaa. Nimenunua UK online kwenye sale,kabla ya sale kuna kimoja hapo ni £60 ila kwasababu ya sale nimenunua vyote hivyo Kwa Tz 140,000/-
 
Nini kilitokea kwa huyo jamaa?
Kifo chake kilikuwaje?
 
Mkuu kwanza hongera !! I can smell new sneakers !!! I envy you!!!
Ila Kama ulinisoma vzr mwanzo nilikuwa tu namuonea gere kiranga the way alivyo na options kibao linapokuja swala la kununua vitu , hii ya kuagiza Kama wewe huwa nafanya pia tena Mara nyingi tu , japo nilikuwa napigwa maaana nilikuwa sivizii sales Kama nilivyojitunza kupitia uzi huu, watu smart husubiri sales , naona piq nawe uko very good at hunting sales , kudos

Kiranga ana uwezo wa kuiona t shirt nzuri let's say ya Nike na akasema hii t shirt kesho nataka niende Nike outlet nikainuhue na ataipata, sisi huku hatuna uwezo huo, mfano Kuna Siku nilibahatisha fulana mbili za mtumba nikiwa mkoani Ruvuma, nikasema ingependeza Kama ningekuwa na collection ya hizi nguo kwenye kabati langu , ebana nimetafuta online Hadi nimekata tamaa, hazipo kabisa ,

Kiufupi mkuu jamaa huko first world wanishi
 
Nyuzi za Born town hizi.
Sisi wakuja tunashangaa shangaa tu humu.
 
Umeona visu sasa hvyo
Fananisha na viatu vya robby na vunja bei
Hpo mikataba tupu

Ova
 
Sema watoto wa Kinondoni shamba na ada estate/Oysterbay walikuwa na uhusiano mzuri enzi zile.
Wengi tulikutana mashuleni na kwenye mmbo ya kipa imara st Peters.....nakumbka nlikuwa sina uwezo wa kununua nguo ya kipa imara kna mashuwa mmja mtoto wake tulikuwa marafiki Dah mashuwa alininunulia nguo,viatu Dah sijasahau hyo mpk leo
Huyo mzee alikuwa balozi kipindi hcho alikuwa anaishi Ada Estate....Gari aliyokuwa anatumia ni Benz alafu Benz zake zote akichukuaga ni special order

Ova
 
Noma sana....

Ova
 
Kuna watu walikuwa na hela kitambo sana tangia utawala wa Nyerere
 
Nini kilitokea kwa huyo jamaa?
Kifo chake kilikuwaje?
Walter(RIP) na Girlfriend wake Vonetha(RIP) walikutwa wamepigwa risasi, with no clues who did it until today
Kuna tetesi nyingi lakin ni dead end.
 
Kuna watu walikuwa na hela kitambo sana tangia utawala wa Nyerere
Watu good time kitambo sana
Kuna mzee mmoja alikuwa anamiliki karibu art gallery.....kuuza vinyago nje kitambo sana
Ukienda hoteli zote airport bidhaa zake zipo
Watoto wake walikuwa wanakula good time
Miaka ya 90 watoto wanakwenda nje for holiday
Watu exposure kitambo sana Walikuwa nayo

Ova
 
Walter(RIP) na Girlfriend wake Vonetha(RIP) walikutwa wamepigwa risasi, with no clues who did it until today
Kuna tetesi nyingi lakin ni dead end.
Kuna moja niliambiwaga nili blow
Ila kwa wenzetu wale inawezekana
Ila jamaa Walter alikuwa hna ttz na mtu
Alikuwa cool sana hakuwa na sifa za ukorofi
Ingekuwa wakina ss Sawa maana enzi zetu tulijulikana kwa utundu

Ova
 
Kuna watu walikuwa na hela kitambo sana tangia utawala wa Nyerere
Hivi pale kwa mama ps wapo bado
Kama unaelekea dstv zamani
Alikuwa na ki pub fulani cha kijanja sna

Ova
 
Miaka ya 90 watoto wanakwenda nje for holiday
Nakumbumka miaka hiyo early 90s, tunakaa Upanga, kuna rafiki yangu kona ya Mindu na Mathuradas, alikuwa anasoma Olympio P/S
Kuna wakati wa likizo ya shule, kina sisi tupelekwa mkoa kuwaoana babu na bibi,
Wao family nzima wanaenda Europe roud trip nchi zote , France 1 week, Germany 1 week, UK 1 week , akirudi tunapigiwa stori na chocolate kibao zawadi. Duuh!
 
Mtu kama twisa kitambo sana good time
Unaweza Sema jamaa ana nata kumbe kakulia maisha hayo ha copy....alafu sasa bibi mkubwa anampenda kinyama yaani kama yai[emoji23][emoji23]
Huo ndy ukweli aliyenacho anacho labda Ashindwe kukitunza

Ova
 
Kuna moja niliambiwaga nili blow
Ila kwa wenzetu wale inawezekana
Ila jamaa Walter alikuwa hna ttz na mtu
Alikuwa cool sana hakuwa na sifa za ukorofi
Ingekuwa wakina ss Sawa maana enzi zetu tulijulikana kwa utundu

Ova
Ni kweli babu, walikuwa mazulas wapole sana
Sijui kama unamjua Ray Kapalata(RIP), alikuwa US nae, lakini ni ndio hivyo kuwa ubingwa bingwa, ilikuwa wabongo kwa wabongo
Suspect akakimbilia kurudi bongo nasikia.
 
Niliipata hiyo
Ila mazula Dah acha tu

Ova
 
Ni kweli babu, walikuwa mazulas wapole sana
Sijui kama unamjua Ray Kapalata(RIP), alikuwa US nae, lakini ni ndio hivyo kuwa ubingwa bingwa, ilikuwa wabongo kwa wabongo
Suspect akakimbilia kurudi bongo nasikia.
Ray si alikuwa anakaa tabata
Nliskia walikuwa wanagombania dem hko

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…