Hivi karibuni tumeshuhudia kiasi kikubwa cha fedha kutoka taifa la kubwa la marekani kuzisaidia nchi za Ukraine, Israel na Taiwan, lakini kwa kuangalia kwa jicho lingine ni kama ili kudili vizuri na na hawa new rising power wanatengenezewa kwa makusudi migogoro ya kisiasa na nchi ambazo ni majirani zao lengo likiwa ni kuwavuta shati ili wasisonge mbele kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia.
Sasa ole wako wewe taifa jipya ujichanganye uazishe vita na Jirani yako utakoma ,ndio kama tunayo yaona sasa kati ya Urus na Ukraine.
Kama Urus ingekuwa sio nchi yenye raslimali za kutosha ambazo zina demand kubwa katika nchi za Ulaya, Asia na Africa pasina shaka pumzi ingekuwa ishamuishia mpaka sasa, katika gharama za kuendesha vita hii.
Iran na China ni kama wameshashutka na ndio maana wanabweka kama mbwa alafu wakiona jamaa anakuja wanakimbilia bandani wanajificha wanakaa kimya.