Mafanikio ya Mataifa ya China, Urusi na Iran ndio chanzo cha mivutano ya kisiasa baina ya nchi za Magharibi

Mafanikio ya Mataifa ya China, Urusi na Iran ndio chanzo cha mivutano ya kisiasa baina ya nchi za Magharibi

Kwanza Marekani haiingizi mwanachama yoyote NATO, uanachama wa NATO unapatikana kwa ridhaa ya nchi ZOTE wanachama, pili itoshe kusema hujui maana ya ujasusi kabisa.
Ni kweli unapatikana kwa ridhaa lakini jua huwezi kuitenganisha NATO na marekani lengo la mwanzo la kuanzishwa kwa NATO ni kuzuia kusambaa kwa Soviet union ideology isiingie nchi za western europe ambazo ni capitalist country rejea vita baridi kati ya soviet na marekani utapata picha kamili
 
Marekani ni mwanachama wa NATO kama walivyo wanachama wengine na wanachama wote wana nguvu sawa za kura ya veto.
 
Iran ndio chanzo migogoro middle east? Ukiangalia magaidi wote middle east iran yupo nyuma yao
-Houthi sio magaidi ni chama cha siasa toka 1990s ila kilishika silaha baada ya Mansour asiyependwa na raia wa Yemen kung'ang'ania madaraka na USA kuingilia kwake kafanya vita kuwa kubwa.
-Hamas sio magaidi ni political organisation iliotokana na PLO ila ukandamizaji wa kutoitambua Palestina imewafanya washike silaha.
-Hizbollah sio magaidi ni political organisation iliopambana na Israel kuitetea ardhi ya Bint jubeir Lebanon.
Hao Taliban waliundwa na kufadhiliwa na US kipindi cha kina Hillary Clinton kuivunja USSR.
Alqaeda vivyo hivyo.
ISIS waliundwa kumng'oa Assad madarakani.
Vita za Yemeni houthi dhidi ya serikali ya Yemen vimechochewa na USA huku Saudi arabia akitumika kumsimika Mansour madarakani.
Iraq vita alisababisha USA ili kufanya regime change.

WE MTOTO SANA HATA MAANA YA UGAIDI HUJUI.
KAA CHINI UFUNDISHWE.
Pasi na USA kuingilia sovereignty za mataifa ya watu basi machafuko yasingetokea mashariki ya kati.
 
Back
Top Bottom