Ni kweli unapatikana kwa ridhaa lakini jua huwezi kuitenganisha NATO na marekani lengo la mwanzo la kuanzishwa kwa NATO ni kuzuia kusambaa kwa Soviet union ideology isiingie nchi za western europe ambazo ni capitalist country rejea vita baridi kati ya soviet na marekani utapata picha kamiliKwanza Marekani haiingizi mwanachama yoyote NATO, uanachama wa NATO unapatikana kwa ridhaa ya nchi ZOTE wanachama, pili itoshe kusema hujui maana ya ujasusi kabisa.
Marekani ni mwanachama wa NATO kama walivyo wanachama wengine na wanachama wote wana nguvu sawa za kura ya veto.Ni kweli unapatikana kwa ridhaa lakini jua huwezi kuitenganisha NATO na marekani lengo la mwanzo la kuanzishwa kwa NATO ni kuzuia kusambaa kwa Soviet union ideology isiingie nchi za western europe ambazo ni capitalist country rejea vita baridi kati ya soviet na marekani utapata picha kamili
Iran ndio chanzo migogoro middle east? Ukiangalia magaidi wote middle east iran yupo nyuma yaoUSA ndio chanzo cha migigoro yote duniani.
Gaidi ni nani?Iran ndio chanzo migogoro middle east? Ukiangalia magaidi wote middle east iran yupo nyuma yao
Msukumo wa kuanzishwa NATO ni mmarekani we bakia kusema wote wana nguvu sawa keyplayer hapo ni mmarekani alitakalo ndo linalokuwaMarekani ni mwanachama wa NATO kama walivyo wanachama wengine na wanachama wote wana nguvu sawa za kura ya veto.
-Houthi sio magaidi ni chama cha siasa toka 1990s ila kilishika silaha baada ya Mansour asiyependwa na raia wa Yemen kung'ang'ania madaraka na USA kuingilia kwake kafanya vita kuwa kubwa.Iran ndio chanzo migogoro middle east? Ukiangalia magaidi wote middle east iran yupo nyuma yao