Ufwandunkanye
Senior Member
- Jan 7, 2017
- 123
- 193
Sawa mlopokaji!Siyo kosa lako kuandika hivyo. Wewe hasa ndiye mlengwa kwenye hii vita ya kujenga Taifa la wastaarabu. Baada ya kukosa unga na viroba, akili itakurudia
Hata mm leo ndiyo nimeamini huyu ndg anakubalika sana!Sikutarajaia kabisa km hata jirani zetu bwana mhusudu hivi!Rais Magufuli anakubalika kila kona
Ndg, amini huyu ndg anapendwa hakika hadi huku!Sija wahi ona Baba ana jisifu kupendwa na watoto wa jirani, wakati wanae wanamuona ni mpumbavu na hawampendi.
Hii nayo kali
Watakuelewa wachache.Siri ya viungo vya uzazi utaipataje kwenye kofia iliyopo kichwani?? Aulizwe pichu..
Kazi unayojipa haikufai, rudisha akili yako kichwaniHz huwa c hbr r
Rafiki hasa kwa wale team wema