Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nipo Kigali, Rwanda. Hakika haja na upendo wa wanya Rwanda kwako ni wakistaajabisha na kuufurahia sana!Nathubutu kutamka kwamba inawezekana upendo wao kwako ni zaidi hata ya wetu RAIA wa Tz ambao kila siku tunakusema kwa ubaya tu!

Hapa Kigali, eneo ambalo mkutano wa wabunge wa Afrika mashariki unafanyika hakika kila mtu anataka kufahamishwa kuhusu ww.Wengine wana thubutu hata kutamani uwe RAIS wao!

Wengi wanataka kufahamu pia km utahudhulia mkutano huu.Hakika ww ni mfano wa kuigwa.

Nimejisikia fahali sana kuwa mta Tz.Lkn napata fahali zaidi niulizwapo kuhusu ww kwa mema!Natembea kifua mbele huku nikidunda kwa maringo kabisa.Yote haya nayafanya kwa sababu ya heshima ya Tz uliyoirejesha kwetu sisi RAIA wa Tz.

HAKIKA natamba kwa sababu ya heshima yako.
 
Hawana taarifa naye vizuri. Isijekuwa wanataka kujua mustakabali ng'ombe zao zilizoko huku.
 
abadilishane nae.yeye aende huko na nanii aje huku.
 
Ungejua wala msingepaza sauti.
Ajira kafuta, no increment, hakuna kupandishwa madaraja, watoto wa masikini wamenyimwa mikopo ya elimu ya juu, Mkataba wa HELSB ulikuwa 8% na sasa hivi 15%, kamata ya wapinzani kila kukicha
Sukari 2800,
Sembe 2200
Maharagwe 2600
Debe la mahind 23,000
TUNAISHI KAMA WAKIMBIZI. MGEJUA KINACHOENDELEA
 
Back
Top Bottom