Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

wakuu kuna uzi humu ulikuwa unabainisha ya kwamba JPM hatafanya lolote katika kipindi cha miaka mitano, me kuna mambo anayoyafanya yananiboa ila kwa mazuri anayo yafanya nampongeza pia. kwa upande wangu mazuri ambayo JPM,, ashafanya ni, kuondoa tatizo la kihstoria la wanafunzi kukaa chini kisa kukosa madawati, kupunguza tatizo la kihistoria la ukosefu wa mabweni UDSM, kufufua shirika la ndege sasa kuna bombardierq400 uku kuna oda ya ndege nne,SC300,Q400,unaweza kupitia mwenyewe kujionea kwenye web ya bombardier, pia oda ya BOEING787(dreamlinear) japo watu wanabeza lakini zikitua mwaka kesho litakuwa jambo jema, ujenzi wa ubungo flyover, jumaa tatu anaweka jiwe la msingi na ujenzi unakamilika 2020, ujenzi wa standard gauge, juzi katibu mkuu wizara ya fedha alizibitisha kuwa wameshalipa malipo ya awali ya bilioni300,jiwe la msingi wanaweka mwezi ujao. so sio kweli hatafanya kitu kuna vitu atavifanya na atakumbukwa mfano kuamisha serikari dodoma, mabaya yake ni udikteta uchwara, kunyima wanafunzi mikopo na ajira za kusuasua. mtu akifanya vizuri mpongezi
 
Utakuwa unaumwa safura wewe hizo pesa amepata wapi au niuwekezaji wa mkwere..! In ten yrs.
 
Kwaiyo wewe ulivyo sikia hatofanya chochote ukajua ni empty set?! Acha utoto wewe ni mtu mzimaati, hata ungekuwa wewe huwezi shindwa hata kujenga visima maana ni mahhiraji ya msingi pia
 
Kuminya Uhuru wa kusema, kukosoa, kupata habari na kuvunja katiba na sheria za nchi waziwazi hayo yote yanafuta hata hayo mazuri kidogo aliyonayo........maendeleo makubwa kuliko yote kwa mwanadamu ni kuwa huru
 
Huo ndo mtazamo wako ktk "kufanya chochote au kutofanya chochote" kwa taarifa yako bado hujaelewa maana halisi...
 
zamani tulisingizia viroba


nenda shule ya msingi mungushi ipo wilaya ya hai uangalie kama watt wanakaa juu ya dawati ndo uje uongee upuuzi huu tena

wazazi wameamua kujiongeza wanachonga madawati na shule isharekebisho

ccm haikusaidia chochote pale zaidi ya majungu
 
Hajafanya mambo ya msingi ndio maana hao watumishi wake wamemchagua Tundu lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…