Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Rais Dk. Magufu ana nia ya kweli kulijenga taifa imara. Wiki mbili sasa nipo Arusha asilimia kubwa ya wakazi wa Arusha wanaanza kumkubali hasa ile yotuba yake ya Ijumaa tar20 bungeni. Kila la kheri Rais wetu mpendwa.
Hata usipoangalia historia ya utendaji wa Rais Magufuli, ukimwangalia usoni utagundua ana maanisha kwa vitendo kile anachokisema.
 

Unaona mbali sana. Great!
 

Utamkubali wewe huyo makofuri wako siye rais wetu ni lowasa
 

Mkuu tanzania kwa sasa inaongozwa na ilani za ukawa wapende wasipende
 

Kama huyaoni makundi ndani ya ccm basi wewe ni kipofu
 
Tukubali bila ya upinzani tusingrmpata Magufuli, bila upinzani tusingekuwa tunamsifu Magufuli leo , bila upinzani tusingefika hapa! Upinzani uendelee kuwepo ili kuwe na ushindani na wananchi wafaidike
 
Mwaka huu mtawatambua ukawa nyinyi manyumbu
Huyooo! zasiku wewe kambi kuyuu ya NYUMBU wa LOLIONDO hahaha mwakahuu matunduyote yameziba na yule mdoli wenu anaanza kupotea
 
Huyooo! zasiku wewe kambi kuyuu ya NYUMBU wa LOLIONDO hahaha mwakahuu matunduyote yameziba na yule mdoli wenu anaanza kupotea

Tuna wabunge wa majimbo takriban 40 nyinyi na kiongozi wenu mkuu ndio mwakilishi wenu, chama kizima mbunge mmoja teeeeeeeh, teeeeeeh, teeeeeeh😆
 
Hahaha wanatafuta imani ya watu
Sidhani kama wataipata tena imani kubwa kama waliyoipata kabla ya ujio wa Lowassa na genge lake ndani ya CHADEMA.

Mbowe aliwachuuza wana CHADEMA wengi kwa kumkaribisha Lowassa na kumpa tiketi ya kugombea Urais.

Kuna watu wengi sana ambao waliweka imani zao kwa CHADEMA kwa sasa hawawezi kumsamehe Mbowe kwa kuwachuuza!
 
Tukubali bila ya upinzani tusingrmpata Magufuli, bila upinzani tusingekuwa tunamsifu Magufuli leo , bila upinzani tusingefika hapa! Upinzani uendelee kuwepo ili kuwe na ushindani na wananchi wafaidike
Hakuna mwenye fikra pana anayesema upinzani lazima ufe lakini vile vile siamini kama upinzani ndiyo umewezesha Rais Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM.

Ninaamini wapinzani wamefanya kila linalowezekana kuhakikisha Dk. Magufuli hachaguliwi kuwa Rais wa Tanzania.
 
Wakimtambua JPM watakuwa washamsaliti LOWASA
Wakimtambua lini wakati bungeni walikuwa wanajadili hoja za kutengua kanuni ili wawakaribishe wageni ambao siyo wabunge wa JMT wakati wa hotuba ya ufunguzi wa bunge la 11.

Kwa sasa wamehamisha magori kwenye hoja ya Rais wa Zanzibar!

Kwa ujumla, UKAWA hawafahamu kile wanachokisimamia kwa sasa kwa sababu wengi wao hawakutegemea kama baada ya uchaguzi wataendelea kuwa wapinzani. Wengine walianza kumuita Lowassa ni Rais wakati hata wananchi hawajapiga kura.
 
nasema kusanyeni kodi haraka
nasema msisamehe kodi
nasema nafuta safari za nje zinatumia gharama nyingi
nasema hela ya sherehe wa uzinduzi wa bunge nunua vitanda peleka kule pesa hakuna hapa
nasema tupungunze matumizi ya pesa kama peni elfu kumi acheni utani mishahara inatungojea hapo mbele
au tufute sherehe za uhuru tujazie halafu tuwakwepe na kina sharif hamad sio
sasa tangazeni kila tv nabana matumizi ya pesa za umma sawa,ndio mkuu

nimesahau kipi?
 
Fikra mgando kama zako ni hatari hata katika mipango yako ya kujiletea maendeleo.
 
Hakuna anachokifanya Rais Magufuli kiko nje ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM na ahadi zake za hapo kwa hapo.

Kama anachokifanya kinakuwa pia kiliahidiwa na UKAWA basi inaonyesha it's a pressing issues to our nation.

Rais Magufuli ni CCM na ataendelea kuitumikia serikali ya CCM iliyopewa ridhaa ya kutawala na wapiga kura wengi.

Nani amesema bila upinzani asingepatikana Rais Magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…