Kasifiwa na nani na wewe?Katika historia, Tanzania wala Africa nzima haijawai kupata rais anayesifiwa na mataifa yote ulimwenguni...Magufuli ni wa kwanza...ardhi ya tanzania imetoa zao linaloangaza na kutumika kama mfano dunia nzima...
Bashite mkubwa weweeMagufuli oyeeeee
Naona hujakaa sawa tafuta bwana akutulizeMagufuli oyeeeee
Taja mwingine kama yupo.Je,in Lowassa?Kasifiwa na nani na wewe?
Tutamsifia tutakapoona uchumi kwa ujumla unastabilize, utawala bora wa sheria, vipaumbele na mipango ya maendeleo inayotekelezeka na sio kutafuta cheap popularity kwa watu wasio na uelewa wa jinsi mambo yanavyoenda kwa sasa, kiuhalisia hali haipo sawa kabisa, serikali inashindwa tu kuweka wazi badala yake inaforce king.
Hawa wanaobadili sura na kuja kama wapya huwa wanafurahishaMwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
Siamini kama mawazo yako ndipo yalipoishia hapo! [emoji35] [emoji35] [emoji35]Mwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
Mbona hutaji mbadala?Rais wa hovyo kuwahi kutokea tangu tupate Uhuru.
Duh!mbege ni kitu kibaya sana na ningejua mwl aliyekufundisha ningewaweka mahabusuMwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
Mbadala kutoka wapi na yeye ndo wa hovyo kuliko wote? Bora angechaguliwa lowassa. Mmemsema mzee wa watu mpaka sasa hata mahakama ya mwanzo mmeshindwa kumpeleka.na mtazidi kuumbuka wote mliomsingizia yule mzeeMbona hutaji mbadala?
Huyo babu yako alidhani kuongoza nchi ni sawa na kuongozwa vicoba eeh.Yale ya ufipa yako bize kuuza madawa ya kulevya
Naona vijana wa Lumumba mmeamua kumsifia mfalme wenu.Binafsi mpaka sasa sioni alichofanya zaid ya kumpenda mkuu wa mkoa wa Dar kama anavyoipenda nafsi yake.Mwinyi,Mkapa,Kikwete hakuna hata mmoja aliyesifiwa akiwa madarakani.Wamemwagiwa sifa baada ya kuondoka.Alivyotukanwa Kikwete huwezi kuamini leo anasifiwa.Watamsifia Magufuli baada ya kuondoka.Kama kuna upungufu ni wa kibinadamu.Hakuna mkamilifu.Kama isingekuwa Magufuli nani basi mwingine anayefaa?.Wakati wa Uchaguzi Mkuu tulikosa.Hata sasa Mimi sioni mwingine.Anayemjua mwingine zaidi ya Magufuli anitajie.
Kwa wasiojitambuaKwa magufuli kila got litapigwa
Hiyo furaha utatoa wapi wakati yupo busy kuuwa uchumi wa nchi? Mjomba tujiandae kugawana mbao boti inazama hii. Babu kipara alichobakiza ni kutafuta kiki tu leo kwenye mchanga kesho bandariniSisi tunaomfahamu rais wetu wala hatuna mawazo tunaelewa mda fulani unaikuja tutafurahi ila kwa sasa walio wengi hatutaelewa
Nahisi utakuwa umetoroka milembe hebu rudi kwanza ukamalize dozi
Hivi wewe umeolewa?
Bashite mkubwa wewee
Naona hujakaa sawa tafuta bwana akutulize
Siamini kama mawazo yako ndipo yalipoishia hapo! [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Duh!mbege ni kitu kibaya sana na ningejua mwl aliyekufundisha ningewaweka mahabusu
Dah..... Ndiyo hoja hizi[emoji13] [emoji13]Kwa wasiojitambua
Nyerere alimsingizia?.Nyerere kwa nini amchukie.Nyerere aliwahi kumuuliza swali gumu ambalo siwezi kulitaja hapa.Hafai na ndiyo maana watz walimkataa.Kampeni alianza mapema lakini akapigwa tu.Mbadala kutoka wapi na yeye ndo wa hovyo kuliko wote? Bora angechaguliwa lowassa. Mmemsema mzee wa watu mpaka sasa hata mahakama ya mwanzo mmeshindwa kumpeleka.na mtazidi kuumbuka wote mliomsingizia yule mzee
oyeeeMagufuli oyeeeee