Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Labda anafanya referrence ya ulaji wa posho kwa bwn.Dotto na nduguze! kwamba kuna kigenge cha watu wana homola tu huku mzee wa niombeeni akiendelea kutupiga white wash eti anabana matumizi!kuhusu nini sasa
We cant get you can you elaborateOn of the characteristics of the word "truth" is such that it wont stay dark "forever" therefore one day we will what are his true colors then we will know what kind of a person he is, hopeful isiwe tumepigwa "changa la macho"
Sent using Jamii Forums mobile app
Surly i might be!You must be colour blind,if you havent seen em yet
Its better to keep on sleeping than waking up realising nothing was real, kama picha la kihindiWe cant get you can you elaborate
On of the characteristics of the word "truth" is such that it wont stay dark "forever" therefore one day we will ...... what are his true colors then we will know what kind of a person he is, hopeful isiwe tumepigwa "changa la macho"
Sent using Jamii Forums mobile app
TeteteteteteLabda anafanya referrence ya ulaji wa posho kwa bwn.Dotto na nduguze! kwamba kuna kigenge cha watu wana homola tu huku mzee wa niombeeni akiendelea kutupiga white wash eti anabana matumizi!
Huyu mdada ni hatari sana.
Kweli huyu ndiye rais niliyemsubiri kwa miaka mingi sana. Sikuhizi yule jamaa yangu aliyekuwa anafanya kazi pale halmashauri ya manispaa ya kinondoni simuoni tena. Yaani yeye alikuwa anatembepea maeneo mawili tu. Kwenye ATM na BAR. Anajifanya eti yuko serikalini ndo maana hafanyi kazi. Na kama wiki hivi sijamwona alafu nikimpigia simu anasema yuko busy. ***** ngoja aje amkute hayuko apigwe chini ntacheka alafu hata hana nyumba.
Magufuli hebu mtembelee na huyu umfinye kidogo ajifunze kuishi kwa kuchubuka kama sisi