Rutakyamilwa
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 1,871
- 1,237
inapigwa mabomuAwamu ya tano Sheria sio kipaumbele, wanajenga Nchi kwa akili zao kichwani,
Kesi zako mahakamani, huku Serikali wanafanya yao wayatakayo, Mwanasheria akitetea anaepingana au kutuhumiwa na Serikali sio mzarendo.
Ukihoji mchochezi, katiba inakuruhusu kuhoji,
Sheria Awamu hii tupa kule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefaidika na nn katika vyote hivyoGTs,
Vitu ambavyo Dkt Magufuli alishafanya mpaka sasa ni:
1. Kuondoa wafanyakazi hewa/vyeti fake zaidi ya 9,000 serikalini
2. Kuitisha majadiliano yenye mlengo wa kulifaidisha taifa ktk rasilimali zake
3. Kulihuisha shirika la ndege la taifa kwa kununua ndenge mpya
4. Kurasimisha uhamaji wa serikali toka Dar es salaam kwenda makao makuu ya nchi Dodoma
5. .....
Ongezea kwenye list
miaka 10 tutakuwa tumepiga hatua kubwa sanaIli afanikishe kama aliyofanikisha Gadafi unadhani itamchukua muda gani?
Angalia libya leo then ndo utajua kama gadaffi alikuwa anafanya kwa uroho wa madaraka au kwa ajili ya walibya hiyo kauli yako ukiitamka leo libya utapigwa maweKabisa maana naye alikufa kwa uroho wa madaraka. Huyo wako naye anajifanya nchi kama yake, kila kitu chake.
wewe ni lofa tanzania ilishajikomboa toka 1964kweli maana Kuikomboa tanzania ni sawa na kumuokoa mtoto wa Swala katikati ya msitu mnene uliojaa Masimba,Mafisi na chui.
Kila hatua unayopiga unashambuliwa, inahitaji moyo mtulivu wa chuma kuvuka.
Kumuondoa JPM hao wapiga kelele wengine wangetuzubaisha na kuturudisha nyuma mala elfu
upinzani wa Tanzania unasikitisha sana yani umekuwa ndio kansa kubwa ya maendeleo wapo sio kwa ajili ya kuchochea maendeleo bali kukwamisha maendeleo ili wapate hojakweli maana Kuikomboa tanzania ni sawa na kumuokoa mtoto wa Swala katikati ya msitu mnene uliojaa Masimba,Mafisi na chui.
Kila hatua unayopiga unashambuliwa, inahitaji moyo mtulivu wa chuma kuvuka.
wewe ni lofa tanzania ilishajikomboa toka 1964kweli maana Kuikomboa tanzania ni sawa na kumuokoa mtoto wa Swala katikati ya msitu mnene uliojaa Masimba,Mafisi na chui.
Kila hatua unayopiga unashambuliwa, inahitaji moyo mtulivu wa chuma kuvuka.
Kumuondoa JPM hao wapiga kelele wengine wangetuzubaisha na kuturudisha nyuma mala elfu
Hii miaka miwil kwa nn hamjapiga hatua kabisa? Au mna polio?
adui mkubwa wa maendeleo ya tanzania ni jinamizi liitwalo ccm.upinzani wa Tanzania unasikitisha sana yani umekuwa ndio kansa kubwa ya maendeleo wapo sio kwa ajili ya kuchochea maendeleo bali kukwamisha maendeleo ili wapate hoja
Sent using Jamii Forums mobile app