Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Awamu ya tano Sheria sio kipaumbele, wanajenga Nchi kwa akili zao kichwani,

Kesi zako mahakamani, huku Serikali wanafanya yao wayatakayo, Mwanasheria akitetea anaepingana au kutuhumiwa na Serikali sio mzarendo.

Ukihoji mchochezi, katiba inakuruhusu kuhoji,

Sheria Awamu hii tupa kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
inapigwa mabomu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nchi gani wanajenga? labda ya kusadikika. mbaya zaidi mmeanza kuchoma moto ofisi za watu.
 
Acacia vp mbona hatupati mrejesho

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Basi sawa. Ila ipo siku utazitambua tu.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
GTs,

Vitu ambavyo Dkt Magufuli alishafanya mpaka sasa ni:
1. Kuondoa wafanyakazi hewa/vyeti fake zaidi ya 9,000 serikalini
2. Kuitisha majadiliano yenye mlengo wa kulifaidisha taifa ktk rasilimali zake
3. Kulihuisha shirika la ndege la taifa kwa kununua ndenge mpya
4. Kurasimisha uhamaji wa serikali toka Dar es salaam kwenda makao makuu ya nchi Dodoma
5. .....

Ongezea kwenye list
Umefaidika na nn katika vyote hivyo

bwana asipoulinda mji walindao wakesha bure
 
b718b75f64bd4ebaa7a9a721f4b945b2.jpg
 
Habari wakuu Africa kwa miaka mingi inashindwa kuendelea kutoka na viongozi wake wengi kuwa vibaraka wa wazungu.Hivyo wazungu huwatumia kuiba mali nyingi sana kutoka Africa.Ni viongoz wachache sana waliojielewa na kukubali kuhatarisha maisha yao kwa manufaa ya umma.

Africa tulikuwa na gadaffi aliyejitolea maisha yake kwa ajili ya walibya aliyerudisha haki ya umiliki wa mafuta kwa walibya aliyepambana kwa ajili ya libya mwisho wazungu wakapandiza upinzani uchwara wakapandikiza chuki kuwa gadaffi dikteta wakapandikiza upuuzi wa kuitw demokrasia wakamuua gadaffi leo libya wanasaga meno raha zote zimepotea haya tujiuluze hiyo demokrasia ina faida gani kwao.

Kwa bahati nzuri tumempata rais anayefata foot steps za gadaffi. Mwenye uchungu na uzalendo wa kwel kwa taifa hili anayepigana kurudisha umiliki wa maliasili na madini kwa watanzania. Aliyeweka rehani maisha yake ili watanzania waishi vizur anayepambana kujenga uchumi imara kwa watanzania.

Bad enough wazungu wasiopenda maendeleo ya Africa na uhuru wa kweli wa mtu mweusi wameanza kutumia upinzani uchwara kumkwamisha ikiwezekana kumuondoa kwa hoja zao zile zile za kipuuzi eti dikteta,eti demokrasia watanzania tuna njaa tunataka maendeleo tunataka tushibe sio uhuru wa kutukana viongozi sio demokrasia ya kuzarau utawala uliochagulia na majority.Tuwapuuze vibaraka na wasiolitakia mema taifa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa maana naye alikufa kwa uroho wa madaraka. Huyo wako naye anajifanya nchi kama yake, kila kitu chake. Anathubutu mpaka kula pesa za maiti (rambi rambi).
Ghadafi siyo shujaa bali ni dikiteta km madikiteta wengine. Unataka kujimilikisha nchi, aliambiwa hiyo Libya ni ya kwake? Katika viongozi huwa siwakubali na Ghadafi yumo. Ni sawa na watu fulani Wanasema Nape ni shujaa wakati ni mpuu...zi fulani tu ktk hii nchi
 
Ili afanikishe kama aliyofanikisha Gadafi unadhani itamchukua muda gani?
 
kweli maana Kuikomboa tanzania ni sawa na kumuokoa mtoto wa Swala katikati ya msitu mnene uliojaa Masimba,Mafisi na chui.
Kila hatua unayopiga unashambuliwa, inahitaji moyo mtulivu wa chuma kuvuka.
Kumuondoa JPM hao wapiga kelele wengine wangetuzubaisha na kuturudisha nyuma mala elfu
 
wewe ni lofa tanzania ilishajikomboa toka 1964
 
kweli maana Kuikomboa tanzania ni sawa na kumuokoa mtoto wa Swala katikati ya msitu mnene uliojaa Masimba,Mafisi na chui.
Kila hatua unayopiga unashambuliwa, inahitaji moyo mtulivu wa chuma kuvuka.
upinzani wa Tanzania unasikitisha sana yani umekuwa ndio kansa kubwa ya maendeleo wapo sio kwa ajili ya kuchochea maendeleo bali kukwamisha maendeleo ili wapate hoja

Back
Top Bottom