nyani mkindu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 537
- 976
100% na ile pete ya Nigeria.Kwaiyo lowasa alikuwa ni mpango wa shetani???
Tarehe 09.11.2015 uliposti uharo wako huo. Unajisikiaje unapoona JPM akichanja mbuga huku ramli zako chonganishi zikishindwa kwa Jina la YesuMiaka mi5 ni mingi mno, hiyo kasi ya sasa ni moto wa kifuu.
Anachanja mbuga kwa kuturudisha nyuma kimaendeleo, wahed mkubwa!!! ShubamiiiitTarehe 09.11.2015 uliposti uharo wako huo. Unajisikiaje unapoona JPM akichanja mbuga huku ramli zako chonganishi zikishindwa kwa Jina la Yesu
kweliWatanzania wenzangu Licha ya Mh. Rais wangu mpendwa JPM kunitumbua leo naomba niwathibitishia kwamba sitaacha kumpena na kumuunga mkono katika utendaji wake wa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app