Tokea huyu mheshimiwa aingie madarakani nilikuwa sijawahi end hospitality kutibiwa jamani.
Sasa Leo nimeenda cha kushangaza natoa 4000 yaani alfu NNE tu hela za kitanzania. Namueleza daktari navyoumwa napimwa na kupewa madawa lukuki kwa hiyo hiyo hela. Hata wakati nafungiwa madawa nimeshajiandaa kutoa hela. Ila cha kushangaza sikuombwa hela na hakukuwepo na dalili hiyo ndio nikaondoka zangu.
Jamani huyu mzee anapambana na wakwepa kodi na matokeo yake hayo tunayaona.
Wazee siku hizi ni Bure na watoto wadogo.
Pia nikaona tangazo kuwa kujiunga na mfuko wa bima ya afya kwa mwaka kwa kaya yenye watu sita ni sh 15000 I.e alfu kumi na tano .
Hivi watanzania tunachotaka ni Nini jamani.
MIE ni navyojua wafanya biashara walikuwa wanakwepa sana kodi na watumishi wetu walikula rushwa sana ndio hao walikuwa wakija bar zinafurika wananunua viwanja ivyo na kujengejenga kama yule bwana mwenyewe nyumba 83.
Sass siku hizi hakuna hayo mambo mfanyabiashara Inatakiwa alipe kodi yake stahiki ila analalamika.
Kiukweli kipindi cha jk mtumishi pekee ndiye aliyelipa kodi kihalali.
Ila saivi mfanyabiashara akionyeshwa kodi yake analalamika sana mana walizoea kukwepa namie nikiwemo .
In my own opinions Jpm tawala milele.
Katiba ibadilishwe Iwe miaka 7 halafu ukomo UTOLEWE.
Uliomba kwa kubahatisha ila ukasukumizwa huko.
Huyo aliyekusumikiza Mami ni Mungu mana aliona tunakuhitaji.
Viva Jpm