Kaa uje uone kwa baadae,unataka tuone lini?mbona amenunua Madiwani wa Chadema tumeona kwa sasa.Yoyote yule anayebeza juhudi za Dr Magufuli toka ameingia madarakani 2015 basi ni lazima mtu huyo atakuwa na tatizo la akili.
Dr Magufuli amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanafanyakazi kwa juhudi zote, wala rushwa wanashughulikiwa, mafisadi wanasumbuliwa, pesa ya umma unatumika kama ilivyopangwa, miradi yote inamalizima kwa wakati.
Kwasababu hatupendi kufanya kazi na tumezoea mteremko basi tunamuona Dr Magufuli ni mwiba mkali.
Dr Magufuli ana malengo makubwa na Tanzania wengi haoni kwa sasa.
Kama akili zako ndivyo zinavyokutuma basi utafutika kweli.Kaa uje uone kwa baadae,unataka tuone lini?mbona amenunua Madiwani wa Chadema tumeona kwa sasa.
Malengo yake mazuri kwanini tusione kwa sasa?
Na kwanini ututukane kua tuna matatizo ya akili wakati wewe matatizoyako ya akili umeficha kusikojulikana?
Tumeshaona Lengo la magufuli kabla haujafungua kinywa chako kaa ukijua.
Lengo la Magufuli ni kufuta upinzani na yuko bize na hilo kuliko chochote.
Lengo la magufuli ni kutumia silaha kama SMG kumaliza upinzani.Matatizo ya Akili unayo wewe ambae unachukua buku 7 ili utuzibe macho na masio yetu.
Kazi hutaki kufanya unategemea nini...Kama kubisha hili ni ugonjwa basi mimi ni mgonjwa! Anamalengo gani zaidi ya kutuumiza watanzania!? Infyuuu![emoji24]
Failure ni wewe unayelilia kila sikuitakuwa umenunuliwa kama madiwani wa Arusha, hai na iringa.
unasifia failure ....stupid
Dhana potofuInaonekana anamalengo yake yeye mwenyewe
Mjinga wewe mwenyewe... Usipende dhihakaUmeshapewa buku saba Lumumba!sasa umekuja kudanganya uma?acha kupotosha watanzania.mjinga we!tafuta shughuli ya kufanya!
Mkuu tokea aliposhika uongozi huyu Mzee nilimdis sana huyu Mzee ila sasa nimeanza kumuelewa kwa aliyoyafanya ni makubwa na sidhani kama yule Mzee tuliyenae ufipa angeweza hii kasi ya maendeleo,na najuta kumpa kura yangu.Yoyote yule anayebeza juhudi za Dr Magufuli toka ameingia madarakani 2015 basi ni lazima mtu huyo atakuwa na tatizo la akili.
Dr Magufuli amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanafanyakazi kwa juhudi zote, wala rushwa wanashughulikiwa, mafisadi wanasumbuliwa, pesa ya umma unatumika kama ilivyopangwa, miradi yote inamalizima kwa wakati.
Kwasababu hatupendi kufanya kazi na tumezoea mteremko basi tunamuona Dr Magufuli ni mwiba mkali.
Dr Magufuli ana malengo makubwa na Tanzania wengi haoni kwa sasa.
Huna lolote kujifanya umesoma na wewe muuza supu ya mapupuUjinga ni kudhani mawazo yako ndio yetu. Mtanzania wa sasa ameenda shule wewe na hiyo elimu yako ya kuunga unga utabakia huko na wajinga wenzako kama TWAWEZA walivotueleza.
Kazi hutaki kufanya unategemea nini...
Wewe ukiwa hata na diploma nikijua hicho chuo kilichokupa nakifuta.Huna lolote kujifanya umesoma na wewe muuza supu ya mapupu
Hayo yakwakoUnataka kusema maraisi waliopita walikua hawana malengo na Tanzania?
kazi gani unayo himiza wewe ili tuungane pamoja kufanya![emoji24] mana biashara haziendi mzunguko wa pesa hakuna mtaani, mahindi ndo gunia 36000/. Anamtakia nini masikini kama si kumuua kabisa? Labda wewe tuambie kazi unayo manisha[emoji24]Kazi hutaki kufanya unategemea nini...