Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hata Idd Amin alipoingia Uganda, alikuwa na malengo makubwa na Uganda! Na ndio maana haikushangaza kuona Amin akinyang'anya biashara za wageni na kuwapa Waganda huku akiamini umaskini wa Waganda umetokana na wageni!!!!

Kilichobaki ni history and to make a long history short, Amin ndo most monster president aliywahi kutokea Afrika Mashariki!!!

So, hoja sio malengo ya Magufuli bali ni kwa namna gani amejipanga kufikia malengo hayo! Kama amepanga kufikia through brutaality, ukandamizaji uhuru na haki na mambo mengine kama hayo, then go to hell na hayo malengo yenu kwa sababu, at the end hayatafikiwa kwa sababu, viongozi wengi wanaofuata staili hiyo wanakuwa failure!
 
Yoyote yule anayebeza juhudi za Dr Magufuli toka ameingia madarakani 2015 basi ni lazima mtu huyo atakuwa na tatizo la akili.

Dr Magufuli amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanafanyakazi kwa juhudi zote, wala rushwa wanashughulikiwa, mafisadi wanasumbuliwa, pesa ya umma unatumika kama ilivyopangwa, miradi yote inamalizima kwa wakati.

Kwasababu hatupendi kufanya kazi na tumezoea mteremko basi tunamuona Dr Magufuli ni mwiba mkali.

Dr Magufuli ana malengo makubwa na Tanzania wengi haoni kwa sasa.
Kaa uje uone kwa baadae,unataka tuone lini?mbona amenunua Madiwani wa Chadema tumeona kwa sasa.
Malengo yake mazuri kwanini tusione kwa sasa?
Na kwanini ututukane kua tuna matatizo ya akili wakati wewe matatizoyako ya akili umeficha kusikojulikana?
Tumeshaona Lengo la magufuli kabla haujafungua kinywa chako kaa ukijua.
Lengo la Magufuli ni kufuta upinzani na yuko bize na hilo kuliko chochote.
Lengo la magufuli ni kutumia silaha kama SMG kumaliza upinzani.Matatizo ya Akili unayo wewe ambae unachukua buku 7 ili utuzibe macho na masio yetu.
 
Kama akili zako ndivyo zinavyokutuma basi utafutika kweli.
 
Ujinga ni kudhani mawazo yako ndio yetu. Mtanzania wa sasa ameenda shule wewe na hiyo elimu yako ya kuunga unga utabakia huko na wajinga wenzako kama TWAWEZA walivotueleza.
 
Yoyote yule anayebeza juhudi za Dr Magufuli toka ameingia madarakani 2015 basi ni lazima mtu huyo atakuwa na tatizo la akili.

Dr Magufuli amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watanzania wanafanyakazi kwa juhudi zote, wala rushwa wanashughulikiwa, mafisadi wanasumbuliwa, pesa ya umma unatumika kama ilivyopangwa, miradi yote inamalizima kwa wakati.

Kwasababu hatupendi kufanya kazi na tumezoea mteremko basi tunamuona Dr Magufuli ni mwiba mkali.

Dr Magufuli ana malengo makubwa na Tanzania wengi haoni kwa sasa.
Mkuu tokea aliposhika uongozi huyu Mzee nilimdis sana huyu Mzee ila sasa nimeanza kumuelewa kwa aliyoyafanya ni makubwa na sidhani kama yule Mzee tuliyenae ufipa angeweza hii kasi ya maendeleo,na najuta kumpa kura yangu.
 
Ujinga ni kudhani mawazo yako ndio yetu. Mtanzania wa sasa ameenda shule wewe na hiyo elimu yako ya kuunga unga utabakia huko na wajinga wenzako kama TWAWEZA walivotueleza.
Huna lolote kujifanya umesoma na wewe muuza supu ya mapupu
 
Kazi hutaki kufanya unategemea nini...
kazi gani unayo himiza wewe ili tuungane pamoja kufanya![emoji24] mana biashara haziendi mzunguko wa pesa hakuna mtaani, mahindi ndo gunia 36000/. Anamtakia nini masikini kama si kumuua kabisa? Labda wewe tuambie kazi unayo manisha[emoji24]
 
Back
Top Bottom