Lissu aje tu kuna mambo yanahitaji ufafanuzi wa kisheriaMimi xaxa naishi kwa amani kwani mungu ametuletea mtu sahihi nahatimaye naamini atashinda kwani yeyote afanyaye mazuri mungu humuongoza. Kazana baba kwan Taifa letu linakuhitaji
usitulazimishe tumsifie,msifie kivyakoTuwe makini jaman km mtu kaifanya poa lazima tumsifie na sio kwamba kua mpinzan kila kitu unapinga, binafsi hongera sana Raisi wetu kwa hii spid "MOTO PAMBA PASI"
Safi sana.Kuna jamaa mmoja humu jf anaitwa Al-Watan alikimbilia Marekani kisa hakutaka kuajiriwa na serikali ya Tanzania kisa mshahara mdogo.Aliponda sana maneno ya hayati Mwalimu Nyerere alipozungumzia wataalamu wanaodai mishahara mikubwa ilhali nchi haina hata fedha za mahitaji muhimu kama vile madawa, barabara n.k. Alimzodoa sana Mh Rais kwa hatua ya kumwondoa Mafuru.Nilijaribu kumwelekeza wapi bwana.Sijui kajificha wapi? Al- Watan njoo, una la kusema? Sisi tupo nyumbani Tanzania, tunaijenga nchi.Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
hii hadithi inatufundisha nini?Serikali ya awamu ya tano inapambana kufanya mabadiliko makubwa kwenye uchumi ambapo mapambano yake inapelekea kugusa nchi zilizokuwa zinatumia nafasi na udhaifu uliopo Tanzania kusukuma nchi zao na Tanzania kubaki kuchekwa na kupata kejeli na hata kufikia kuambiwa Tanzania inapitwa na vinchi vidogo vidogo na vingne havina hata Rasilimali kama zilizopo Tanzania. Vita hii ya uchumi inayoendelea mfano wake.
1-Bomba la mafuta kutoka ohima-uganda lilikuwa tayar makubaliano lipitie nchi ya jirani yetu lakin kwa nguvu ya ushawish ya Tanzania tukaipokonya fursa yao
2-majirani wamejenga Reli yao(standard gauge) ili baadaye Reli hiyo iendelee mpaka kufikia kwenye land locked countries nayo Tanzania imeeanza kwa speed ya usiku na mchana kujenga reli na isitoshe itakuwa ya umeme ili izifikie hzo nchi kabla ya majirani
3-Watalii wengi walikuwa wanashuka kwa majirani kwa ndege kwani shirika lao lina ndege nying za kimataifa na hvyo Tanzania kukosa watalii weng hvyo Tanzania kununua Ndege haraka haraka ili tuwapate hao watalii moja kwa moja
4-Madini kunufaisha nchi nyingine kwa sasa Tanzania imesema inatosha na sisi lazima itunufaishe
Je, wewe unaionaje hii vita ya uchumi???
Sent from my LG-D325 using JamiiForums mobile app
Mimi nakuunga miguu.Jamani hakuna wa kuniunga mkono?
Tupo pamoja.Jamani hakuna wa kuniunga mkono?