Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ni habari mbaya kwa wanaopenda kusikia habari mbaya kila siku.
 
Hamna lolote, sanaa tu!!

Naamini hii imekuja ili kuzima story yote kumhusu TAL.
 
Mimi xaxa naishi kwa amani kwani mungu ametuletea mtu sahihi nahatimaye naamini atashinda kwani yeyote afanyaye mazuri mungu humuongoza. Kazana baba kwan Taifa letu linakuhitaji
Lissu aje tu kuna mambo yanahitaji ufafanuzi wa kisheria
 
Tuwe makini jaman km mtu kaifanya poa lazima tumsifie na sio kwamba kua mpinzan kila kitu unapinga, binafsi hongera sana Raisi wetu kwa hii spid "MOTO PAMBA PASI"
usitulazimishe tumsifie,msifie kivyako
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Safi sana.Kuna jamaa mmoja humu jf anaitwa Al-Watan alikimbilia Marekani kisa hakutaka kuajiriwa na serikali ya Tanzania kisa mshahara mdogo.Aliponda sana maneno ya hayati Mwalimu Nyerere alipozungumzia wataalamu wanaodai mishahara mikubwa ilhali nchi haina hata fedha za mahitaji muhimu kama vile madawa, barabara n.k. Alimzodoa sana Mh Rais kwa hatua ya kumwondoa Mafuru.Nilijaribu kumwelekeza wapi bwana.Sijui kajificha wapi? Al- Watan njoo, una la kusema? Sisi tupo nyumbani Tanzania, tunaijenga nchi.
 
Kwa sababu;

Ndiye RAIS mwenye kuamua na kusimamia vyema aliaminilo.

Ndiye RAIS aliye weza kupeleka somo kwa wawekezaji kwamba Tz siyo shamba tena!

Ndiye RAIS aliye weza kurejesha nidhamu ktk yote.

Kubwa,ndiye RAIS aliyebadirisha Sheria za Madini na mambo mengine yahusuyo mali na tunu za TAIFA letu.

Hongera sana bwana MAGUFULI!
 
Serikali ya awamu ya tano inapambana kufanya mabadiliko makubwa kwenye uchumi ambapo mapambano yake inapelekea kugusa nchi zilizokuwa zinatumia nafasi na udhaifu uliopo Tanzania kusukuma nchi zao na Tanzania kubaki kuchekwa na kupata kejeli na hata kufikia kuambiwa Tanzania inapitwa na vinchi vidogo vidogo na vingne havina hata Rasilimali kama zilizopo Tanzania. Vita hii ya uchumi inayoendelea mfano wake.

1-Bomba la mafuta kutoka ohima-uganda lilikuwa tayar makubaliano lipitie nchi ya jirani yetu lakin kwa nguvu ya ushawish ya Tanzania tukaipokonya fursa yao

2-majirani wamejenga Reli yao(standard gauge) ili baadaye Reli hiyo iendelee mpaka kufikia kwenye land locked countries nayo Tanzania imeeanza kwa speed ya usiku na mchana kujenga reli na isitoshe itakuwa ya umeme ili izifikie hzo nchi kabla ya majirani

3-Watalii wengi walikuwa wanashuka kwa majirani kwa ndege kwani shirika lao lina ndege nying za kimataifa na hvyo Tanzania kukosa watalii weng hvyo Tanzania kununua Ndege haraka haraka ili tuwapate hao watalii moja kwa moja

4-Madini kunufaisha nchi nyingine kwa sasa Tanzania imesema inatosha na sisi lazima itunufaishe

Je, wewe unaionaje hii vita ya uchumi???

Sent from my LG-D325 using JamiiForums mobile app
 
hii hadithi inatufundisha nini?
hii hadithi alikusimulia nani?
 
Naomba nikupongeze rais wangu kwa Uzalendo , lakini wasiwasi wangu ni je unatuongezea faida au unazamisha taifa, Je nikweli vita hivi vya bl. 700. Zilitosha kuwaondoa maisha wapiganaji wasaliti, je kunahaja ya kuambiwa yupi mzalendo wa taifa hili, je gharama za utafiti, gharama za kuwatunza wajumbe wasiojulikana na ulinzi waliopewa maalum kwa kodi ya wananchi inakupa picha gani mheshimiwa ? Naona nikama mmerudishiwa gharama za kuendesha mchakato Kwani hakuna tulicho kupata.
Eeee Tanzania yetu.
 
Balaa kupewa 0.016 kumbe uzalendo

Je aliebaki na 99.98 Tutamuitaje?
 
Hapa lazima nimpongeze Rais John Pombe Joseph Magufuli, kwa mafanikio makubwa katika kuwabana kampuni ya Barrick Gold.

Sina haja ya kurudia hadithi nzima.

Inatosha kusema kama alivyosema Rais,Hakuna kulala, Zege halilali kuwabana hawa watu wa madini.

Hongera mh. Rais kwa mkwara mzito ulioleta matunda.
 
Kwajinsi vyuma vilivyokaza kwenye mapato ya ndani, Pesa ya uchaguzi 2020 tumeshapata. CCM mbele kwa mbele.
 
Kwa baadhi ya watanzania wenye chuki zisizo pimika, tegemea watakuja kupinga hili kwa nguvu zote, bila hoja za msingi.
 
Zamani nilipokuwa darasa la nne sikuwa nafahamu kikubwa kati ya trillion moja na billion moja niambieni sasa kikubwa ni kipi.
 
Watanzania tusiwe mabwege kushangilia kitu tusichokijua, nani ameona hayo makubaliano. Je hayo makubaliano yanafuta sheria na mikataba ya awali? Sikinde waliimba "usisikie la kumbiwa mpaka uone mwenyewe"
 
Ni vigumu kuamini lakini ni vema tuwapongeze Watanzania walikuwa kwenye meza ya mazungumzo,hakika wametekeleza wajibu wao Na waitendea haki nchi yetu, hongera sana
 
Back
Top Bottom