masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Watanzania tusiwe vipofu wa ku appreciate yake yaliyo dhahiri.Watanzania tusiwe mabwege kushangilia kitu tusichokijua, nani ameona hayo makubaliano. Je hayo makubaliano yanafuta sheria na mikataba ya awali? Sikinde waliimba "usisikie la kumbiwa mpaka uone mwenyewe"
Hana double standards kwenye issues!Apunguze double standard ndo atafikia izo level
Ukweli mmeshikwa vizuri sana maana mliaminishwa na nabii wenu kuwa tungeishia MIGA sasa miga imepotea mnatafuta pakutokea.Kutoka bajeti ya miaka kumi adi mishahara ya watumishi wa umma wa mwaka mmoja; barafu wa jamiiforum alituonya.
Kweli Barrick wametuweza; hayo mengine mengi yapo ata huko nyuma sema utekelezaji ndo ulikua tatizo
Ni mawazo yangu yanayozingatia matokeo flani ya hatua za MagufuliChanzo cha habari yako,au haya ni mawazo yako tu?
Wazungu wengi husifia vizuriWatanzania wengi ni rahisi kuridhika na ujinga na wagumu kuchoka shere.
Sijaongelea wazungu, nimeongelea Watanzania.Wazungu wengi husifia vizuri
It's only because you are paid for this so I won't give you a load of blamesHakika na bila ubishi Mheshimiwa Rais Magufuli ameingia kwenye rekodi za dunia katika vita kubwa ya kiuchumi kwa maslahi ya Tanzania na bara la Afrika.sasa ni wakati wa waafrika kuamka na kuiga mbinu hizi za kimapambano.