Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kwa kweli. Nchi yetu kwa sasa ukilinganisha na kipindi cha mkwere wananchi wote wana furaha sana. Maisha yamekuwa ahueni. Tuisifie serikali yetu ya ccm kwa haya yote. Kumbe inawezekana. Tuko kwenye right track.

Btw: wachache wanaweza oanisha jina na picha hiyo. Hongera kwa kuidadavua. Ila ni jina na picha tu. Si unajua, tukiweka majina yetu halisi humu serikali yetu pendwa itatutafuta itupe 'zawadi' sababu tunaisifia kwa kuona kazi nzuri wanayoifanya.
 
Mnampongeza kiongozi wa malaika
Kiongozi wetu yuko eneo takatifu pale ikulu anaweka mikakati ili tuendelee kuishi vizuri zaidi kwa kushea keki hii ya taifa. Keki yavtaifa kwa kweli kila raia sasa hivi anapata kipande chake na anainjoi utamu wake.
 


yaan nimecheka sana jamani kwahilo jina !nakupa salute kubwa sana !hata hvyo bila 'selekale ya CCM usingeweza kuwa na jina hilo!
 
Kwa muda mefu sana nilikuwa kando na masuala ya siasa na sababu kubwa ilkuwa ni tabia ya baadhi ya wanasiasa hao kutopenda kusema UKWELI. Japo ukweli unauma lakini kwa kiasi kikubwa unasaidia kukupa uhaliisia juu ya jambo Fulani li ujue namna ya kujipng.
Tangu aingie Madarakani Rais Maguguli amekuwa na sifa ya kusema kweli badala ya kupindisha /kutafuna maneno. Yaan ni MTU mwenye msimamo na mwenyewe kuongea uhalisia ili MTU ujue kama kitu utapata au LA .Hongera saan kwa hilo.
Ni mm
Mpenda Maenfeleo
Njombe.
 
Birds of the same feathers fly together!
 
Kwanza nitoe Pongezi nyingi kwa Mpendwa wetu MH.JPM(Jiwe Ponda Mali) kwa kazi nzuri hadi kufanikisha jana Mwezi kupatwa na jua. Awamu zilizopita kitu kama hiki kilikuwa tunaskiwa nchi za wenzetu tu lakini jana mubashara tumeshuhudia live. Ponhezi JPM.

Pia ni katika kipindi hiki wataalam wa mambo ya anga wanatutabanaisha kuwa kwa mara ya kwanza sayari ya Mars itapita karibu sana na Dunia hivyo mtu ukikaza macho kwa nguvu angani unaweza kuiona, pongezi JPM.

La mwisho , nnalojivunia na kumpongeza Mh.ni pale tuliposhuhudia Mubashara fainali za kombe la dunia, huku akifanikisha mvua isinyeshe kipindi chote cha mtanange hadi mpira kuisha, na baadae kuiachia wakati wa kugawa medali ili kuwapooza wachezaji. Pongezi ndugu Mh.

Asanteni sana.
 
Baaah, hata sisi uku Mtimbwilimbwi kubaki kushukuru kweli, chichiemu oyeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Utani wa ngumi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…