Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli. Nchi yetu kwa sasa ukilinganisha na kipindi cha mkwere wananchi wote wana furaha sana. Maisha yamekuwa ahueni. Tuisifie serikali yetu ya ccm kwa haya yote. Kumbe inawezekana. Tuko kwenye right track.Kwakweli bora mjitokeze wat design yako mtoa mada!mambo meng yamekuwa mterezo tu!watumish ongezeko la mshahara sio la kitoto! hii imepelekea watanzania kuwa kati ya biinadamu wenye FURAHA ZAIDI E.A,JANGWA LA KATI NA LA PEPO ZA KUSI !imepelekea hata vifo vya kujishoot watu kisa mthongo wa mawazo kuisha km sio kupotea kabisaaaa!viva JPM
bdw nimependa jina lako na picha !
Kiongozi wetu yuko eneo takatifu pale ikulu anaweka mikakati ili tuendelee kuishi vizuri zaidi kwa kushea keki hii ya taifa. Keki yavtaifa kwa kweli kila raia sasa hivi anapata kipande chake na anainjoi utamu wake.Mnampongeza kiongozi wa malaika
Kwa kweli. Nchi yetu kwa sasa ukilinganisha na kipindi cha mkwere wananchi wote wana furaha sana. Maisha yamekuwa ahueni. Tuisifie serikali yetu ya ccm kwa haya yote. Kumbe inawezekana. Tuko kwenye right track.
Btw: wachache wanaweza oanisha jina na picha hiyo. Hongera kwa kuidadavua. Ila ni jina na picha tu. Si unajua, tukiweka majina yetu halisi humu serikali yetu pendwa itatutafuta itupe 'zawadi' sababu tunaisifia kwa kuona kazi nzuri wanayoifanya.
Birds of the same feathers fly together!Kwa muda mefu sana nilikuwa kando na masuala ya siasa na sababu kubwa ilkuwa ni tabia ya baadhi ya wanasiasa hao kutopenda kusema UKWELI. Japo ukweli unauma lakini kwa kiasi kikubwa unasaidia kukupa uhaliisia juu ya jambo Fulani li ujue namna ya kujipng.
Tangu aingie Madarakani Rais Maguguli amekuwa na sifa ya kusema kweli badala ya kupindisha /kutafuna maneno. Yaan ni MTU mwenye msimamo na mwenyewe kuongea uhalisia ili MTU ujue kama kitu utapata au LA .Hongera saan kwa hilo.
Ni mm
Mpenda Maenfeleo
Njombe.
Naye huyu atakuwa na zamu ya kunywa mchuzi kila asubuhiUnamkubali mtu mzima
Bujibuji oyeeee, Mwana Kondoo asante sana kwa mwandamo wa mwezi hapo Jana.Magufuli oyeeeeee