Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nilikuwa na mpango wa kuhama hii nchi, but siondoki tena naona kabisa heshima inarudi..chezea JPM ww.!!
 
Jamani....hakuna uozo ambao rais Dkt Magufuli ataufumbia macho. Hii nchi anaimudu. Hii nchi ina sheria nzuri sana, tatizo zilikosa msimamizi tu. Sasa msimamizi tunae na yupo very serious.

Upo sawasaw
 
Usikurupuke bila tafakari,Tanesco bado wanaunganisha mitambo ya gesi kwenye gridi ya Taifa, sasa unataka JPM aingilie Ili UKAWA muanze kumsema anakurupuka au?

Umeona safisana maana jamaa wapo wapo Na matukio
 
Jamani....hakuna uozo ambao rais Dkt Magufuli ataufumbia macho. Hii nchi anaimudu. Hii nchi ina sheria nzuri sana, tatizo zilikosa msimamizi tu. Sasa msimamizi tunae na yupo very serious.

Ni lazma tuibake Katiba na demokrasia kama Rwanda Dr Magufuli aendelee kuongoza nchi baada ya muda wake kuisha
 
Hio ni kutafuta umaarufu kirahisi, aende tanesco, umeme hakuna na alisema ya kwake itakuwa ya viwanda bila umeme vitaendeshwa na ziarab za kushtukiza, hio ni kukosa maarifa na ubunifu wa kazi, atengeneze mfumo wa lisheria

Unampangaia kazi Bosi wako wa nchi? Pole sana, subiri kibano mwaka huu. Mtaisoma namba nyie UKAWA mlio kuwa mnaiharibu nchi.

HAPA KAZI TU
 
Yaani kila Kiki ya ukawa haipati media coverage maana mpaka Kenya habari ni magu viva baba magu
 
Huyu ndiyo aina ya kiongozi tuliyekuwa tunamtaka tupo pamoja na yeye ukawa wahuni tu.
 
Yaani kila Kiki ya ukawa haipati media coverage maana mpaka Kenya habari ni magu viva baba magu
Magufuli namba nyingine kabisa wala siyo ya kuchezewa kabisa wala haiwezi kulinganishwa na ukawa hata chembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…