Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nakuombea uteuliwe kwenye sakata la Korosho maana unaweza ukaokoa Jahazi tulisha waambia Matamko hayana Tija hasa kwenye mambo yanayo husu biashara Kwenye Biashara kuna kitu kinaitwa Mfanya biashara na mambo yanayo mzunguka ''An Entrepreneur and his environments'' ni somo llinalo husu mfanya biashara na mambo yanayo mzunguka likiwemo la Sera za serikali
 
weka namba ya simu😡😡😡😡😡😡
 
Staili mpya [emoji16][emoji16][emoji16]. Si ujiridhishe kwanza kwamba ukimya huo ni intentionally ama la?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Massive failure aliyopata kwenye uongozi wake haitahaulika ,yeye mwenyewe kaishaona kula kitu anaferi .
 
We jamaa,upo nchi gani,unafikiri tunakula hizo safari zao,na mizunguko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona korosho mmekaa kimya hampongezi tena nini kimewapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umesahau namba ya simu/e-mail sasa watakutafutaje?
 
Hii kazi ninzito usipokuwa mwangalifu utazeeka siku siku zako, kupumzika na kujipanga upya ni afya kwa kazi yake
 

Miradi ya kuzinɗua imeisha au pumzi imekata!?
 

Hivi kuna mpigaji zaidi ya aliyekamatwa Bandarini akitaka kuingiza "mzigo" wa Bilioni 2 bila kodi? Mtu anaechezea documents za serikali? Ameshaagizia watu wangapi na hakukamatwa? Ndo maana kila mtu alishutushwa kijana mdogo kuwa tajiri kwa kufanya "kazi" ya siasa kwa miaka mitano. Je baada ya kukamatwa inakuwaje anaachiwa na Rais? Eti asipolipa anasamehewa. Mahakama imekosa watu kwa kuwa tunapambana na Rushwa na ufisadi halafu tunawasamehe. Only in Africa!!
 
Walioshindwa huwa Wana kawaida ya kutoa lawama kwa wengine.wengi tumekubaliana kuwa ukifeli kimaisha jua ulifeli katika mipango Yako pengine haukuwa mbunifu au hukuonyesha bidii.sasa hivi Rais analaumiwa Sana na Mambo mengi yanapotoshwa juu yake Ila na uhakika inakuja siku ambayo watu watamkumbuka sana.tatizo la WATANZANIA wengi tunapenda kuonekana tunajua kila kitu.mtu mmoja unakuta anaamini anajua Mambo ya madini,anajua utaalam wa uchumi,huyohuyo anataka kutuaminisha anafaham Mambo ya usalama,huyohuyo mtu anataka tumuone anajua sheria zote,huyohuyo mtu mmoja anataka aonekane anajua yaliyomo ndani ya mioyo ya watu.kwa rais sawa sishangai kujua mengi kwa sababu yeye ana access kubwa ya kupata information zozote atakapozihitaji.inawezekana Rais asijue Mambo ya Kodi lakini akitaka kujua anaita TU mtu mhusika na anaambiwa kila kitu kitaalamu.wewe mwananchi wa kawaida inakuwa ngumu kumtafuta msomi akueleze Jambo fulani.leo hii kwa mfano mtu anakwambia Magufuli Ana chuki na MO Au na manji,hivi unajuaje kwanza yanayoendelea katika fikra za magufuli.kwa sababu hata kumuona humuoni mpaka kwenye shughuli za kitaifa masaa mawili au matatu.leo hii unataka utuaminishe kitu Cha uongo.mkuu wa mkoa kataja wauza madawa ya kulevya stori zikaanza kwamba Ana beef nao.hivi inaingia akilini kweli mtu awe na beef binafsi na watu Zaid ya 30.au kuna wengine wanatuambia kuwa rais Magufuli hapendi kushauriwa,hivi unajuaje kwamba hapendi kushauriwa wakati hukai naye??hauishi ikulu ofisini kwake.unajuaje kwamba kipindi ambacho wewe humuoni yeye huwa anakataa ushauri anaopewa na wasaidiz wake? ndo hayahaya ya brother ruge ilionekana kwamba anabania wasanii,Ana beef nao lakini Leo hii tulio wengi tumegundua na tumekiri kuwa ilikuwa Ni uongo na chuki TU alizokuwa anapakaziwa.kwa hiyo hata Magufuli kwa Sasa anaonekana anafanya miradi ambayo wakosoaji wanadai haifai lakini ipo siku mtaitumia tu miradi hiyo na mtakiri alifanya Jambo jema.kama unakosoa jambo hakikisha umefanya tafiti kwa sababu Raisi yeye tunajua Ana watalaam wake kila idara na ndo maana Kuna Jambo kafanya baada ya kushauriwa.tufungeni midomo yetu tuangalie fursa ziko wapi tujenge uchumi wa ndani ya nchi yetu.tuacheni zile siasa za kusema Kuna KERO iko mtaani kwako unamrushia lawama Rais badala ya kwenda kwenye mamlaka za chini kutoa malalamiko yako.sote tukifuatilia changamoto zetu tuta zi solve haraka.tusimaini kuwa rais anajua kila kitu mengine hayajui na ndo maana Kuna viongozi wengi tu wamewekwa kutusaidia.
 
Weka vituo koma katika mwisho wa sentence. Kisha kachukue B7 yako usisahau number yako hapo chini


Korosho wewe


SWISSME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…