HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuombea uteuliwe kwenye sakata la Korosho maana unaweza ukaokoa Jahazi tulisha waambia Matamko hayana Tija hasa kwenye mambo yanayo husu biashara Kwenye Biashara kuna kitu kinaitwa Mfanya biashara na mambo yanayo mzunguka ''An Entrepreneur and his environments'' ni somo llinalo husu mfanya biashara na mambo yanayo mzunguka likiwemo la Sera za serikaliWanabodi,
Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.
Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.
Nelson,
Uvinza, Kigoma.
weka namba ya simu😡😡😡😡😡😡Wanabodi,

Staili mpya [emoji16][emoji16][emoji16]. Si ujiridhishe kwanza kwamba ukimya huo ni intentionally ama la?Wanabodi,
Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.
Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.
Nelson,
Uvinza, Kigoma.
Kujifanya mjuaji kumbe hujui jumatano ya majivu ni kupakwa majivu...kubusu msalaba ni ijumaa kuuataonekana j.tano ya majivu akibusu misanamu huko
😀😀😛 Mimi kuwa Lumumba?!! !!
huo ndio ukweli wenyewe
We jamaa,upo nchi gani,unafikiri tunakula hizo safari zao,na mizunguko?Wanabodi,
Nimetafakari sana katika kipindi cha takribani mwezi mmoja na zaidi, sijasikia na wala kuona Rais wangu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli akizungumza katika vyombo vya habari. Ninachokiona ni Makamu wa rais Mama Samia Suluhu Hasani akiwa na Mawaziri wake katika mkoa wa Tabora. Vilevile namwona Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa naye akichanja mbuga kunyoosha mambo serikalini katika mikoa mbalimbali. Style hii mpya ya uongozi nimeipenda na imewavutia watu wengi. Nadhani mtindo huu alioamua kuutumia ni mzuri sana na una tija kubwa kwa taifa.
Licha ya watu kuendelea kuzunguka katika nchi za Ulaya na Marekani kuponda mazuri unayoyafanya hapa Tanzania, wewe endelea kukaa kimya na endelea kumtumia vizuri Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Dr. Mahiga. Nchi imesimama vizuri na mambo yananyooka. Wewe endelea kuvuta pumzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao kwani CCM watakupitisha kuwa mgombea wao. Sina mashaka kabisa na utendaji wako na uaminifu wako kwa taifa.
Nelson,
Uvinza, Kigoma.
Mbona korosho mmekaa kimya hampongezi tena nini kimewapataWanabodi,

Wanabodi,

Hii kazi ninzito usipokuwa mwangalifu utazeeka siku siku zako, kupumzika na kujipanga upya ni afya kwa kazi yakeWanabodi,

Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Habari zaidi, soma =>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...