Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Duuh eti roho ya Mungu!!!Kwa haya yanaoendelea basi Lucifer anaroho nyeupe!
 
Mbona jambo hili ni la kawaida sana.

Kwa wale waenyeji wa jiji la dar es salaam hasa maeneo ya katikati ya jiji wanafahamu ile barabara ya kivukoni front kupitia wizara ya foreign hadi ikulu hupambwaga bendera na hata picha ya rais yeyote anayekuja tanzania kwa ziara rasmi ya kiserikali.

Hii ni kawaida hata sisi huwa tunafanya labda kwa kuwa wewe waishi nanjilinji ndio maana washangaa hili.
 
BHN

https://www.bible.com/sw/bible/74/EXO.19.BHN
https://www.bible.com/sw/bible/74/EXO.21.BHN
Amri kumi
(Kumb 5:1-21)
1Mwenyezi-Mungu alizungumza maneno haya yote, akasema, 2“Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekutoa nchini Misri, ambako ulikuwa mtumwa.
3“Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 “Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago cha chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia. 5 Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha hao wanichukiao.6Lakini nawafadhili maelfu ya wale wanipendao na kuzishika amri zangu. KUNA MUNGU NA miungu ya RC
 
Tafadhali mweshimu Mungu. Acha kumuhusisha na ujinga wako.
 
Mimi nilikua nadhani roho mbaya ya kiburi, ukatili, mauaji, kinyongo, kisasi na majigambo inatoka kwa shetani, kumbe ni kwa "mungu"!
 
Reactions: prs

Elezea matukio,ishara na alama zinazojenga uhalali wa hoja yako.Umeona nini?[emoji23][emoji23].Otherwise,watu watakujibu tunashukuru kwa maono yako “mpakwa Mafuta”[emoji23][emoji23]
 

Tangu lini roho wa Mungu akakaa na mtu anayeficha watu wasiojulikana??! Acha kutuzingua
 
Aturudishie waliopotea na awaombe radhi waliolemazwa ili wote tusameheane tuanze moja.
 
Anaombea eti wafanyakazi wasipewe mishahala yao.
Badala yake wachangie ununuzi wa mabuldoza na mandege na vichwa vya treni na mabehewa yake yote.
Cha ajabu hataki hayo mabuldoza yatumie mafuta kuyaendesha.
Anataka yatumie maji ya bombani.
Mwambieni kuwa
Huko kote ni kujilisha upepo wa sifa.
Kitakacho salia ni
Imani,
Tumaini,
Na
Upendo.
Hayo makokoto na mabuldoza yote yataondoka hapa dunia.
Na
Yeye Pia.
 
Kaka huyo jamaa yako alosema kuna watu wanaosema mkapa is the best ni uongo.Yule hadi leo ameiathiri nchi kwa sera yake ya ubinasishaji kila mtu anamlani hakuna anaemsifia mkapa
Kwani kushangiliwa yeye ss inatuhusu nini? Ndo inapunguza au kuongeza nini kwako wewe kama wewe?
 
Kaka kwan aliyeiua TRC nan si mkapa ndie aliyeiua kwa kuwapa waindi halaf yey hela akala
 
Kaka kusema toka aingie kila kitu kinakufa huo unafki sasa.Hakuna kiongoz asiye na madhaifu lakn magu anastahili hongera kaonesha utofaut na viongoz waliopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…