Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmekusoma mkuu, sijawahi kufikiria uteuzi na sihitaji kuteuliwa kwa hiyo siweki namba za simu na sitaweka...Overili upewe uteuzi baada ya kulamba nyayo za mkubwa
Tafadhali mweshimu Mungu. Acha kumuhusisha na ujinga wako.Sio Jambo la ajabu roho ya Mungu kukuingia hata wewe unaweza kuikaribisha roho hio na ukafanikiwa.Kwa hiyo naona kabisa kwa dhamiri aliyonayo Magufuli katika kutetea raia wake kwenye matatizo yao na Nia aliyonayo Basi ile universe spiritual itakuwa imemwingia
Huu Ni mtazamo kwa mujibu wa utambuzi wangu.nawasilisha
mmojawapo wewe na yeye .shida mtaanza kunitishia kama vile na nyie roho ya Mungu haiku kwenu piaKama roho ya Mungu iko kwako pia basi wataje wasiojulikana!
Mimi nilikua nadhani roho mbaya ya kiburi, ukatili, mauaji, kinyongo, kisasi na majigambo inatoka kwa shetani, kumbe ni kwa "mungu"!Sio Jambo la ajabu roho ya Mungu kukuingia hata wewe unaweza kuikaribisha roho hio na ukafanikiwa.Kwa hiyo naona kabisa kwa dhamiri aliyonayo Magufuli katika kutetea raia wake kwenye matatizo yao na Nia aliyonayo Basi ile universe spiritual itakuwa imemwingia
Huu Ni mtazamo kwa mujibu wa utambuzi wangu.nawasilisha
Hakuna shetani acha kujidanganyaMimi nilikua nadhani roho mbaya ya kiburi, ukatili, mauaji, kinyongo, kisasi na majigambo inatoka kwa shetani, kumbe ni kwa "mungu"!
Sio Jambo la ajabu roho ya Mungu kukuingia hata wewe unaweza kuikaribisha roho hio na ukafanikiwa.Kwa hiyo naona kabisa kwa dhamiri aliyonayo Magufuli katika kutetea raia wake kwenye matatizo yao na Nia aliyonayo Basi ile universe spiritual itakuwa imemwingia
Huu Ni mtazamo kwa mujibu wa utambuzi wangu.nawasilisha
Sio Jambo la ajabu roho ya Mungu kukuingia hata wewe unaweza kuikaribisha roho hio na ukafanikiwa.Kwa hiyo naona kabisa kwa dhamiri aliyonayo Magufuli katika kutetea raia wake kwenye matatizo yao na Nia aliyonayo Basi ile universe spiritual itakuwa imemwingia
Huu Ni mtazamo kwa mujibu wa utambuzi wangu.nawasilisha
Nenda pale kwenye soko la samaki pembeni, utakutana naye live, tena analindwa kabisa!Hakuna shetani acha kujidanganya
Ila unawalamba miguu kweli!?Nmekusoma mkuu, sijawahi kufikiria uteuzi na sihitaji kuteuliwa kwa hiyo siweki namba za simu na sitaweka...Over
Sijawahi kulamba miguu ya mtu...ila nasema ukweli daima. Napongeza pale jambo zuri linapofanyika na ninakosoa pale linapofanyika jambo ambalo haliko sawa.Ila unawalamba miguu kweli!?
Kwani kushangiliwa yeye ss inatuhusu nini? Ndo inapunguza au kuongeza nini kwako wewe kama wewe?
Rais MAGUFULI ameona umuhimu wa kuifufua njia za reli ambazo ziliachwa zijifie anafahamu na ameona umuhimu wa reli ktk maendeleo ya nchi yeyote duniani,Rais MAGUFULI anaweka umememe wa uhakika ktk kwa ajili ya maendeleo ya kweli,Rais MAGUFULI amenunua ndege ameifufua Atc iliyokuwa imejifia,kwa haya mambo matatu tunapotamka mageuzi ya kilimo na hata viwanda bila kuwa na haya mambo matatu kama msingi wa mageuzi itakuwa tunajidanganya kwa sababu tunahitaji umeme wa uhakika kwa ajili ya viwanda bila kujali ni viwanda vya kusindika mazao yatokayo mashambani ama kutengeneza bidhaa za kawaida,tunahitaji njia ya reli kwa urahisi wa kusafisha bidhaa za viwandani na hata mazao ya mashambani kutoka sehemu moja kwenda nyingine,hii njia ya reli ni rahisi kwa bei na hata ina uhakika kuliko barabara.tunapoongea utalii wa ndani na hata nje bila uhakika wa usafiri kwa njia ya anga tutakuwa tegemezi tusiokuwa na uhakika..hongera MAGUFULI,MUNGU akutunze.
Kaka kusema toka aingie kila kitu kinakufa huo unafki sasa.Hakuna kiongoz asiye na madhaifu lakn magu anastahili hongera kaonesha utofaut na viongoz waliopitaUmeshindwa kuweka hata paragraph kwenye huu upumbavu uliouandika.
Hebu mwambie huyo unaempa sifa za kijinga atueleze ataifanyia nini korosho maelfu ya tani yanayoendelea kuoza?
Pia muulize atawalipa lini wananchi pesa zao za korosho?
Tatu, muulize ata recover vipi hasara aliyoisababishia nchi kwa maamuzi yake yasiyo na tija kwa taifa hili?
Kuanzia ameingia kila kitu kinakufa tu