Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Naamini akiondoka leo kitakachotokea ni kuanza kurejesha mengi aliyoharibu mfano demokrasia, diplomasia na mataifa mengine, kuimarisha uchumi nk..within weeks atakuwa amesahaulika
Una ndoto za rohoni jomba..atakayefanya yote hayo ni nani sasa..kwa sababu zinazotekelezwa kwa sasa ni ilani ya CCM..sio ya mtu binafsi..unachekesha..hata hivyo rais ajaye atatoka CCM..au unadhani atatoka wapi jombaa
 
atuambie kwanza trilion 2.4 zetu ziko wapi?
Pesa vote 20 kabakisha sh ngapi?
Atwambie kwa nini ATCL haikaguliwi?
Aseme amewanunua wapinzani njaa kuunga mkono juhudi kwa sh ngapi ?

Hakuna serikali ya kifisadi kama hii tangu tupate uhuru
Hahaha ningekushauri..kwanza fuatilia mabilioni ya fedha yaliyoliwa na vyama vyenu yale ambayo CAG! MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI ameyabaini..hayo mnayafumbia macho mnajifanya hamuoni..hahahah mnarukia serikali ambayo inapambana na mafisadi...mna laana nyie..! Hivi SACCOS yenu bado inakopesha magari jombaa
 
atuambie kwanza trilion 2.4 zetu ziko wapi?
Pesa vote 20 kabakisha sh ngapi?
Atwambie kwa nini ATCL haikaguliwi?
Aseme amewanunua wapinzani njaa kuunga mkono juhudi kwa sh ngapi ?

Hakuna serikali ya kifisadi kama hii tangu tupate uhuru
Unaweza kuniambia eneo moja tu ambalo unalipa kodi forodhani..!! Kiasi cha kuita pesa zenu..?? Au umetumwa..!!,
 
Kwenda kule..zimbabwe wengine tumeishi..sio kukaa tu..unalosema halipo..
Acha uzuzu,ambalo halipo ni nini? That street slang 'zvakabenda'? It stands for 'things aren't right' au ambalo halipo hauamini kama Zim hakuna hata hela za kulipa watumishi wa serikali mishara na watoe wapi pesa ya kununulia korosho.
 
Unfortunately, itabidi Rais ajaye atumie zaidi ya mwaka mmoja kusafisha uozo na Magu.

Itabidi airudishe nchi kwenye jumuiya ya watu wastaarabu. Sasa tumekuwa laughing stock huko duniani.

Itabidi tujue zile Trillion 4.8 zilienda wapi ili zirudishwe.
Itabidi mawaziri warudie kufanya kazi zao sio kila kitu kifanywe au kuamuliwa Ikulu.
Itabidi tupate Rais mwenye kujua lugha za Kiswahili na Kingereza kwa ufasaha.
Mambo ni mengi
 
Kwani amekuambia atakufa lini? Toa uchuro wako hapa
 
Yaani mkuu haupo serious! Unamfanisha JPM na Makonda huyu!? Tutake radhi, acha ushamba kurahisisha mambo.
 
Hahaha kwani anataka kufa?! Au ccm mmemchoka tayari?! Hizo sifa za huyo anayekufa ni zipi?!
 
Haya maono yako kuhusu kifo yalimtia matatizoni Mh Lema
 
Vipi Karibia anakwenda nini?Asafadhali.
 
Hahaha hizi ndio sera zenu..lol...kweli mmefilisika..hamwezi walau kutuambia mambo ya maendeleo...? Hivi nyinyi ni watanzania kweli..? I doubt
sera zetu akina nani??
 
Ndani ya Awamu yake moja kaiharibu nchi vibaya sana kakibomoa chama kuliko raisi yoyote aliopita
 
Uchumi wa kati umefika sasa?
 
Balozi Sefue yupo wapi kwa sasa?
 
1.Ambao maisha kwao ni raha tu/bila chembechembe ya shida
2.Tulipata wadangaji wa kutosha wake kwa waume.
3.Tulipata walevi wengi wa Pombe
4.Tulikuwa na kizazi cha watumia madawa ya kulevya.
5.Mashoga waliongezeka.
6.Vijana hawakupenda shule
7.Vijana waliolewa sana na wamama watu wazima.
8.Matapeli wengi
9.Kipindi ambacho Vijana walifanya maamuzi rahisi na si maamuzi sahihi
10.Nchi isingeweza kujengwa na wasiofanya kazi!!!
"Pamoja na mapungufu yako kama mwanadamu,pa 1 sana JPM"
 
Kuna mambo mimi naungana naye na kumpongeza, ingawa kwenye suala la utawala wa sheria ambako kuna kutii sheria napata tabu kumuunga mkono. Sijui wengine. Namuona ana jambo jema kwa nchi hii ila kuyafikia hayo haki nyingi za raia zinakandamizwa. Tunajua kuna ushenzi mwingi ulitamalaki katika nchi hii na Rais wetu amedhamiria kuutokomeza na anaonekana kweli kudhamiria, ila katika kufikia huko n vizuri sheria wtu zikawa za haki na zikafuatwa katika kila hatua ya kuwashughulikia hawa washenzi - wabadhirifu,wezi, wauza madawa n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…