Wakati miradi inakamilika 2025 atakuwa chato anafuga ngombeKama unaweza bet. Jina Rais wa sasa wa Tanzania basi. Unaliwa tena Unaliwa mcha kweupe.
Hana mchezo Wala Usije fanya mchezo na agizo lake Wala Usije cheka wakati hacheki.
Amesema amesema 5 years sasa Tz hakuna mgao na usiniulize nin kafanya
Miaka mitano sasa hakuna bei kupanda na usiniulize kafanya nini.
Miaka mitano na tuna madege yakutisha usiniulize kafanya nn.
Kizazi cha majizi anakifuta kabisa kama sio kukipoteza ktk system
Miradi yote kukamilika before 2025 nalazima imalizike kama. Una duwa lingine omba ila usi bet Rais wa sasa utaliwa tutusa
Kama unaweza bet. Jina Rais wa sasa wa Tanzania basi. Unaliwa tena Unaliwa mcha kweupe.
Hana mchezo Wala Usije fanya mchezo na agizo lake Wala Usije cheka wakati hacheki.
Amesema amesema 5 years sasa Tz hakuna mgao na usiniulize nin kafanya
Miaka mitano sasa hakuna bei kupanda na usiniulize kafanya nini.
Miaka mitano na tuna madege yakutisha usiniulize kafanya nn.
Kizazi cha majizi anakifuta kabisa kama sio kukipoteza ktk system
Miradi yote kukamilika before 2025 nalazima imalizike kama. Una duwa lingine omba ila usi bet Rais wa sasa utaliwa tutusa
Kina Ngulinzira ni Warundi nyinyi ndio mnatuharibia nchi Uhamiaji chukueni huyuNaunga mkono hoja
Rudi darasan ukajifunze elimu ya uraia. BAVICHA mna matatizo sanaKina Ngulinzira ni Warundi nyinyi ndio mnatuharibia nchi Uhamiaji chukueni huyu
Mkuu Samwel sijasema kwa bahati mbaya kina Ngulinzira walioko Tanzania 100% wanatoka Kigoma hasa Kibondo nawajua nyie.Rudi darasan ukajifunze elimu ya uraia. BAVICHA mna matatizo sana
Tuhabarishe wapi kuna mgao wa umeme, MGAO WA UMEME. Umeme unakatika kwa hitilafu hio ipo, ila mgao ni wapi tufahamishane.Huu ujinga kwamba nchi nzima hakuna mgao sijui hapo Lumumba hii hoja mmeitoa wapi?
Tofauti zama zile ilikuwa ni rahisi kusema kuna mgao bali zama hizi mambo ni kimya kimya. Kwani mgao maana yake ni nini?
Mgao ni nini kwani na ni nani anayetoa taarifa ya hitilafu mara umeme unapokatika?Tuhabarishe wapi kuna mgao wa umeme, MGAO WA UMEME. Umeme unakatika kwa hitilafu hio ipo, ila mgao ni wapi tufahamishane.