johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe uko mwaka wa ngapi hapo Duce?Hoja Na mambo ya kumkosoa magu Ni mengi sana.mgombea yeyote Wa urais akishindwa Sera anione tu.bado Ni mengi kibao.kwa mfano bodi ya mikopo badala ya kutoa mikopo ya ELimu ya juu kiubaguzi itoe kwa watu wote.pia mikopo waombaji wenyewe wapendekeze kiasi cha kukopeshwa.mambo Ni mengi hatari
Hoja yangu inahusiana vipi Na swali lako? Chuo nilipiga kipindi cha Mzee mkapa Mkuu Udsm, masters kwa mkoloni.Wewe uko mwaka wa ngapi hapo Duce?
Mkuu ulipata lini muda Wa kukutana Na Wa Tanzania wote?Mtu atakayetaka kugombea Urais ili kimchallenge Magufuli 2020 anajitakia aibu tu
Maana atapata kura za familia tu
Viva Magufuli
Pale jalalani?!Hoja yangu inahusiana vipi Na swali lako? Chuo nilipiga kipindi cha Mzee mkapa Mkuu Udsm, masters kwa mkoloni.
Wewe umezisoma ilani ninazozungumzia au unateseka tu!Ilani imekamilika 100% Tanzania ni ya ngapi kwa utajiri duniani?
Maisha yako individually yamebadilikaje? elimu imepanda? kuna kiwanda kipi kipya? export zimeongezeka? maisha ya mtanzania wa kawaida yameimarika? au idadi ya maskini imeongezeka?
Seriously watu sijui mmefungwa macho, hatujapanda juu, bado tupo level ileile, ambacho tumeongeza ni maneno tu kua kuna effort ambazo hadi sasa hazijazaa matunda. Sifia kila kitu hua mna matatizo sana, tatizo sio upinzani wala ccm, tatizo nchi bado iko ovyo, viongozi wamekaa kukomalia watu ambao hawajaoa utadhani ndiyo priority alafu mnasema ilani imekamilika, uko serious kweli?
umemaliza vizuriMtu atakayetaka kugombea Urais ili kimchallenge Magufuli 2020 anajitakia aibu tu
Maana atapata kura za familia tu
Viva Magufuli
Nikiufuatilia utendaji wa serikali ya awamu ya 5 naona yaliyoahidiwa na vyama vya upinzani mwaka 2015 ni kama yameshatekelezwa yote.
Ilani ya CCM kwa kuwa ilisheheni vitu vingi sana kutokana na uwezo mkubwa wa kifikra wa wale walioiandaa imetekelezwa kwa zaidi ya 90% na ifikapo September 2020 itakuwa imekamilika kwa 100%
Nauona upinzani ukifutika kabisa kwenye ramani ya Tanzania.
Maendeleo hayana vyama!
Atapata aibu ya mwakaMtu atakayetaka kugombea Urais ili kimchallenge Magufuli 2020 anajitakia aibu tu
Maana atapata kura za familia tu
Viva Magufuli
Yapo mapya mengi mojawapo ni kuwajengea uwezo madaktari wetu ili kupunguza vifo na rufaa za nje ya nchiNikiufuatilia utendaji wa serikali ya awamu ya 5 naona yaliyoahidiwa na vyama vya upinzani mwaka 2015 ni kama yameshatekelezwa yote.
Ilani ya CCM kwa kuwa ilisheheni vitu vingi sana kutokana na uwezo mkubwa wa kifikra wa wale walioiandaa imetekelezwa kwa zaidi ya 90% na ifikapo September 2020 itakuwa imekamilika kwa 100%
Nauona upinzani ukifutika kabisa kwenye ramani ya Tanzania.
Maendeleo hayana vyama!
Watakuja na HATUTAKI MAENDELEO YA VITU.Nikiufuatilia utendaji wa serikali ya awamu ya 5 naona yaliyoahidiwa na vyama vya upinzani mwaka 2015 ni kama yameshatekelezwa yote.
Ilani ya CCM kwa kuwa ilisheheni vitu vingi sana kutokana na uwezo mkubwa wa kifikra wa wale walioiandaa imetekelezwa kwa zaidi ya 90% na ifikapo September 2020 itakuwa imekamilika kwa 100%
Nauona upinzani ukifutika kabisa kwenye ramani ya Tanzania.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee umeshafika muhimbili siku za karibuni?Yapo mapya mengi mojawapo ni kuwajengea uwezo madaktari wetu ili kupunguza vifo na rufaa za nje ya nchi
Kupanga nikuchagua na maendeleo si kupanga na kuchaguaJe, watanzania ni wazito wa kufikiri? Ethiopia inazo ndege nyingi sana na inashindana na nchi za ulaya, Ethiopia inajenga bwawa kubwa sana la umeme na Ethiopia ina reli ya kipimo cha kati (SGR) na ni makao makuu ya AU, lakini wananchi wake kila siku wanakamatwa wakipita Tanzania kuelekea Afrika Kusini, wanaikimbia nchi yao. Watanzania wa leo tunaamini Rais anayefanya manunuzi kila siku basi ni kiongozi bora licha ya sisi kuwa mbali na vitu hivyo. Hapo ndipo tunapoona mkazi wa kijijini Mbaba Bay akishabikia SGR huku akilalamika hana maji, barabara na huduma za afya. Kama kuwa na hivyo vitu ni maendeleo kwa wananchi basi waethiopia hawana sababu ya kukimbia nchi yao. Uajabu wetu ni pale mtu anaposifia utajiri wa mwingine kama vile ni wake huku akilala njaa.
Dada yangu wa kuzaliwa alipoteza maisha KCMC kwa failure ya operation ya kizazi. Kaka yangu kwa Baba mdogo kapoteza uhai kwa tatizo la figo; kaka yangu wa kuzaliwa kapoteza uhai kwa kulishwa madawa ya Taifodi na malaria wakati tatizo lilikuwa pressure na sukari.Bwashee umeshafika muhimbili siku za karibuni?
Mimi siteseki nina maisha mazuri tu, anayeteseka wewe hapoWewe umezisoma ilani ninazozungumzia au unateseka tu!
Bwashee hayo maisha mazuri uliyonayo na familia yako yameletwa na CCM!Mimi siteseki nina maisha mazuri tu, anayeteseka wewe hapo