Ilani imekamilika 100% Tanzania ni ya ngapi kwa utajiri duniani?
Maisha yako individually yamebadilikaje? elimu imepanda? kuna kiwanda kipi kipya? export zimeongezeka? maisha ya mtanzania wa kawaida yameimarika? au idadi ya maskini imeongezeka?
Seriously watu sijui mmefungwa macho, hatujapanda juu, bado tupo level ileile, ambacho tumeongeza ni maneno tu kua kuna effort ambazo hadi sasa hazijazaa matunda. Sifia kila kitu hua mna matatizo sana, tatizo sio upinzani wala ccm, tatizo nchi bado iko ovyo, viongozi wamekaa kukomalia watu ambao hawajaoa utadhani ndiyo priority alafu mnasema ilani imekamilika, uko serious kweli?